Walichokifanya UKAWA dhidi ya hoja ya
Zitto ni "Gentlemen Reaction" nawapongeza sana Ukawa.
Gentleman anafanya maauzi kwa kuunga mkono hoja yenye ukweli hatakama inaletwa na mtu asiyetoka kwenye kundi lake,
Gentleman ataunga mkono hoja ya ukweli hata kama mleta hoja aliwahi kwenda kinyume na hoja yako ya ukweli kabisa hapo awali.
Zitto aliwahi kwenda kinyume na msimamo wa UKAWA bungeni na kubaki bungeni tena msimamo wenye hoja ya kweli na nzito, ila hiyo sio sababu ya UKAWA kwenda kinyume na hoja ya kweli iliyoletwa na
Zitto simply kwakuwa eti aliwahi kwenda kinyume na hoja za UKAWA mara kadhaa, huu ndiyo unaitwa uungwana.