Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Your heart desires something new and you are looking for loopholes available so you can dump her.
Hahahaha....sikuwahi kufikiria hii kitu. Umetisha - unafaa kuwa mjumbe wa ulinzi na usalamaKabila tu ndio halibadilishwi.
Nimegundua tatizo linaanzia kwako mwenyewe, bichwa maji - full king'ang'anizi.Sio rahisi kama unavyofikiria
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ni comedian haswaaa!Mi nishabadilisha hadi kabila,baada ya kule nilipotaka kuoa kusema hawatupendi wamasai!
Hahaha,serious mkuu,ni kweli ninachosema![emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ni comedian haswaaa!
hahaa hahaa kwanza serikali haitowaacha Salama "" yaani wawanukishe watu wengine harufu !? wakati wanauwezo wakuizika ...."" yeye aoe tu .....mtoa mada nenda bomani kafunge ndoa..haya mambo ya dini yasikukoseshe utamu ....katika hizi Jamii zetu kuna watu wengi mnooo wanaoishi na wenza wasio wapenda kwasabbu ya kuachana na waliokuwa wanawapnda kisa tu dini zao zilikuwa nitofauti....Wakigoma kumzika si watanukiwa wenyewe na mzoga??
na pumzi ninini ??Sikushauri ubadili dini iman ni maisha
Not correct
AsanteMaisha ni yako hao wanaokutishia usibadili dini ikitokea leo ukaumwa ugonjwa seriously wakukulaza kitandani huduma zote muhimu hapo hapo kitandani hakuna hata mmoja atakaekuja japo kukugeuza na bado upo kwenye dini hiyo hiyo wanayoamini ni sahihi kwako.
Sisi binadam ni wanafiki sana,mara nyingi huwa tuna machozi ya nyani akiwa anauwawa ila ni hatari sana linapokuja tatizo ktk jamii zinazotuzunguka.nilichojifunza ktk dunia hii na ndicho ninachokiishi ni kwamba:Amani ya kweli haipatikani ktk kuwa na mahusiano mazuri na ndugu tu,hata binadam wengine wanaokuzunguka na marafiki zako tena hawa ndiyo wa muhim zaidi maana wanakuwa wengi kuliko hata hao ndugu na hawa kwenye matatizo ndiyo wanaojitoa kuhangaika.
Unadhani unaposikia mtu akiomba kuchangiwa matibabu na jamii yeye ndugu hana?ndugu anao wanajitenga ila unakuta kwenye masuala mengine yasiyowahusu wanakuwa wa kwanza kureact.ukifa hata akifa mkeo au akifa mwanao wao wakasusa kuna watu wanaokupenda nje yao,kuna watu wanaokujali nje yao tena wakati wakishiriki kinafiki kuna rafiki zako watakuwa na wewe bega kwa bega bila kujali dini yako.muhimu tengeneza marafiki na heshimiana na kila mmoja ktk jamii inayokuzunguka.
Ishi maisha yako,kikundi cha watu wachache kisikukoseshe amani ya moyo.hizo dini zipo tu na haijatokea hata mmoja ktk hao waamini Mungu akamtokea siku moja akamwambia "wewe hapa unaponiabudu ndiyo upo sahihi na yule hayupo sahihi" dini ni jinsi unavyoishi na jamii that's it!!!
We jamaa we [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] wamasai hawatakiwiMi nishabadilisha hadi kabila,baada ya kule nilipotaka kuoa kusema hawatupendi wamasai!
Oa ndoa ya kiserikali mambo yatakaa sawa.Hizi dini 2 kubwa,sitaki kuzitaja ili kuepusha comments zenye misingi ya kidini