Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Waraka gani unasomwa kwenye makanisa tu baada ya misa ? huu ni udini , wala hauna kupepesa macho
Unasomwa kwenye makanisa ndiyo!
Kwa sababu ni waraka kutoka kwenye kanisa husika kwenda kwa waumini husika!

Kwa sababu serikali yenu haishauriki,hawa wasomi wa ukweli wameamua kupitia njia sahihi ili kutoa elimu kwa jamii ya waumini wao.

Tofauti na ile elimu anayoitoa katibu mkuu Chongolo wa CCM majukwaani huku akituona watanzania milioni sitini kama ni mataahira!
 
Hapo ulipomtaja Zitto nimekuelewa kabisa! Hawa jamaa sio wa kuwaamini kabisa! Hata wasome kivipi upumbavu hautoki kichwani mwao! Huyo mwarabu muislamu mwenzio kwanza yeye hataki kujiita mweusi! Ni racist! Anawaona waafrika kama manyani! Akina Zitto na Kikwete wanashangilia kumpa bandari muarabu ili hali muarabu anawanyanyapaa! Wanadhani kwa kumpa mwarabu bandari ndo wanaenda peponi! Hawa jamaa wapumbavu kabisa! Ni shida
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Unasomwa kwenye makanisa ndiyo!
Kwa sababu ni waraka kutoka kwenye kanisa husika kwenda kwa waumini husika!

Kwa sababu serikali yenu haishauriki,hawa wasomi wa ukweli wameamua kupitia njia sahihi ili kutoa elimu kwa jamii ya waumini wao.

Tofauti na ile elimu anayoitoa katibu mkuu Chongolo wa CCM majukwaani huku akituona watanzania milioni sitini kama ni mataahira!
Basi hilo ni suala la kikatoliki sio suala la kitaifa , endeleeni tu hakuna shida , ni mambo ya kidini hayo
 
Na ujuwe ukatoliki ni madhehebu tu.lakini huko ndiko wanapatikana waumini kutokea nyanja zote.
Hata hao viongozi wa serikali baadhi yao ni waumini huko.
Wakiwemo wale wabunge waliokuwa wakipiga makofi bungeni kufurahia rushwa

Kupitia waraka huu, wanapata ujumbe rasmi kwamba walikengeuka.

Nyinyi msikimbilie neno udini bila kutuambia huo mkataba wa "mangungo" ni kwa maslahi ya nani?

Mmetufikisha mahali hadi mtoto wa samia sasa anaongea na serikali za nje kuhusu mikataba ya nchi hii ilhali yeye si mtumishi wa ngazi yoyote ile ya serikali.
Soma hapo chini.
Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg
 
View attachment 2723662
Hii dhana ya kuwa ukatoliki unatoa viongozi ni mbaya sana haina mashiko, kiongozi yeyote kwenye nchi hii anapaswa kujua kuwa hii nchi ni jambo la kwanza kwake kabla ya anacho kiamini kwenye hiyo dini yake
 
Nimeweka neno
"hao viongozi"
Ili kuweka msisitizo kwamba kama wabunge wametudharau sisi wananchi na kuupigia makofi huo mkataba mbovu.
Basi sasa wanaumbuliwa na viongozi wao wa kiroho.
Kama unavyomuona Tulia akson kwenye picha,akiwa amepewa kopi zake mbili akiwa kanisani.

20230820_230958.jpg
 
Back
Top Bottom