Haya ni matatizo yako, yatatue.Wajinga nyie mnawafanya watu wa Mungu wawe maskini mnajificha kwenye dini na siasa.
Nenda Saudi arabia au Irani uwambie watenganishe dini na serikali uone kama utamka ukiwa mzima.
Mafisadi nyie
Alikuwa anapigania madaraka ya kisiasa?Kwa Waislamu Mtume Muhammad alipigana vita vingi 1.Badr, 2. Uhud,3. Khandak na Hunayn, je, alichanganya dini na siasa?
Ushasema alikemea maouvu, inamaana alifanya injili iliyogusa maslahi ya mwanasiasa.Yesu alikemea maovu ya watawala hadharani mpaka akasulubiwa, alichanganya dini na siasa?
Unazitenga kwa viongozi wa dini kuachana na ya dunia na kuongoza kondoo katika nchi ya maziwa na asali.Dini na siasa unazitenga vipi?
Uhainiiiiii.......kiko wapi sasaHaya ni matatizo yako, yatatue.
Ninakubaliana nawe.Dini na siasa vinatengana sana tu. Ufalme wa mbinguni ni wa mbinguni na wa duniani ni wa duniani. Maslahi binafsi ndo huunganisha dini na siasa.
Nyie watu mpo desperate sana. Ni dalili ya msongo wa mawazo. Kwa hiyo mlitaka kikwete akae kimya?Nyoka wamechomoka pango limemwagiwa mafutanya taaa😆😆
Yap. Kabisa mkuu. Na tuache kuwa wajinga wajinga kushindwa kuwajibishana.Ninakubaliana nawe.
Kinachosikitisha tu ni kwamba, tuna watu (wananchi) wanaamini akiwepo mtu mwenye dini yao huko juu ngazi ya uongozi, basi akifanya mambo yasiyokuwa mazuri, akisemwa inakuwa ni kwa sababu ya yeye kuwa wa dini yao.
Wanaacha kuangalia makosa yanayosemwa juu yake.
Hili ni tatizo kubwa sana linalotakiwa kutambuliwa na wananchi wote bila kujali dini zao.
Kwa msaada gani aliofanyia taifa? Hata akiongea nothing Change.....gesi si aliuza?Nyie watu mpo desperate sana. Ni dalili ya msongo wa mawazo. Kwa hiyo mlitaka kikwete akae kimya?
Aliuza gesi kwa nani? Shilingi ngapi? Lini?Kwa msaada gani aliofanyia taifa? Hata akiongea nothing Change.....gesi si aliuza?
Sisi tunaongelea Mkataba wao wanaongelea Udini. Nani mdini sasa hapo kama sio Kikwete?Yeye ndo mdini mkubwa anafanya nini huko kusengenya wenzake..Asitupangie maisha na nini chakuongea.
Mkataba ni mbaya na tumeukata.full stop.
Mkataba mbovu kivipi? Mbona mkataba upo vizuri tu!Yeye ndo mdini mkubwa anafanya nini huko kusengenya wenzake..Asitupangie maisha na nini chakuongea.
Mkataba ni mbaya na tumeukata.full stop.
Mwaka huu mtajua hamjuiAliuza gesi kwa nani? Shilingi ngapi? Lini?
Kivipi?Mwaka huu mtajua hamjui
Ni kweli ila Bandari tayari imeendaDP WORLD ni kaa la moto