Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Ni baba yako mwenyewe, usitujumuishe na sisi
 
Wewe ni Chawa?
 
Yule mzee ni mhuni inahitaji akili kumwelewa, hapo mtu anasogezewa kete ale hata 4 hivi alafu yeye aje kuizingusha Kete moja hadi kingi na mchezo kuishia hapo, huyu ni kijana mtiifu kweli kweli anajua kula kete vizuri huku anacheka
 
[emoji23][emoji23][emoji23] TEC washikilie hapo hapo hadi tujue ni nini kilichopo nyuma ya mkataba huu. Watatoka wote pangoni.
 
Nimeanza kuamini.
 
Dini na siasa vinatengana sana tu. Ufalme wa mbinguni ni wa mbinguni na wa duniani ni wa duniani. Maslahi binafsi ndo huunganisha dini na siasa.
Raisi ana dini na anapiga kura na kupoigiwa kura. TEC wana dini na wanapiga kura. BAKWATA wana dini na wanapiga kura. SHURA ya Maimam wana dini na wanapiga kura..!! Unatenganishaje siasa na dini wakati wahusika wapo pande zote? KILA ALIYEKO KWENYE SIASA YUPO KWENYE DINI...!!

NI THEORY TU KWAMBA DINI NA SIASA UNAWEZA KUVITENGANISHA, LAKINI UHALISIA HAUPO HIVYO..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…