shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,158
Uwekezaji upo pale pale mpaka walaka mkausome Roma na vatican [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Kiimani hapa sio kwenu. Kwenu ni mbinguni kwa baba. Si ndio?Ahaa! Kumbee???
Basi kama ndivyo ilivyo wanadini waache kabisa kuombea taifa na viongozi wao. Na wanasiasa waache kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zao!
Siasa ni jamii. Na jamii ni watu. Na watu ndio hao wenye dini na wasio na dini! Nchi ni yetu sote!
daaaaah nchi yetu inalaana kabisa kwa kuongozwa na huyoKatika nchi makini huyu alitakiwa awe gerezani, mwizi na fisadi wa kutisha
lakini ukumbuke kuwa Ufalme wa Mbinguni unatafutwa mwanadamu akiwa dunianiDini na siasa vinatengana sana tu. Ufalme wa mbinguni ni wa mbinguni na wa duniani ni wa duniani. Maslahi binafsi ndo huunganisha dini na siasa.
Unatafutwa au upo ila tiketi ndo tabu?lakini ukumbuke kuwa Ufalme wa Mbinguni unatafutwa mwanadamu akiwa duniani
SafiiNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Sijajua wewe ni wa imani gani?Kiimani hapa sio kwenu. Kwenu ni mbinguni kwa baba. Si ndio?
ni lugha tu umeizungusha, lakini mantiki ni hiyo hiyoUnatafutwa au upo ila tiketi ndo tabu?
Viongozi wa kisiasa wanafanya hivyo kwa maslahi binafsi ya kisiasa. Nimesema mwanzoni, dini na siasa zinakutana kwenye maslahi.Sijajua wewe ni wa imani gani?
Kwa imani yangu kwa mujibu wa vitabu vya dini kuna manabii waliowakemea na kuwashauri wafalme waliotenda isivyo sawasawa.
Hata hivyo, ni vigumu kutenganisha dini na siasa! Kwa maana hata viongozi wa kisiasa hutumia baadhi ya maandiko kuwasilisha au kusisitiza jambo fulani.
True talkAhaa! Kumbee???
Basi kama ndivyo ilivyo wanadini waache kabisa kuombea taifa na viongozi wao. Na wanasiasa waache kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zao!
Siasa ni jamii. Na jamii ni watu. Na watu ndio hao wenye dini na wasio na dini! Nchi ni yetu sote!
Naam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka
Harafu kuna mtu mmoja wa kijani anakuja kusema dini isiingizwe kwenye siasa, wakati siasa zetu hapa Tz zimejengwa katika misingi ya kidini kwa 100%.Rais na wabunge karibu wote waliapa kwa kutumia vitabu vya dini. Bunge kila kikao lazima kianze kwa sala ya kidini.
Pilot ameamua kutoka hadharaniNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Mnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike 👎Naam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Sisi tunazungumzia mkataba, hizo mada nyingine ni kutaka tu kukwepa hojaKwa hiyo siyo tec inayotumia kanisa katoliki Kisiasa?
.nafahamu kuwa kuwa kanisa katoliki siyo dini.
Kiimani hapa sio kwenu. Kwenu ni mbinguni kwa baba. Si ndio?