Hatimaye wamerudi kwao

Lini Wizara ya mambo ya nje ya Tz isaidie wananchi walioko nje ya nchi hata kama wanauawa.....
Hii serikali haipangiwi...mpaka ikiamua yenyewe
Halafu vijana wa kitz washajitoa mhanga kule,kwa hali ya maisha ilivo hapa nani atarudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…