Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

Umeona nchi nyingi wanajielewa, wasanii wa bongo wanaenda kushikilia balls za jiwe wapate hela, hawajali ya kesho wao ni pesa mbele.
Wasanii wengi wa hapa Bongo ni wale ambao walifeli au walishindwa shule wakaamua kujiingiza kwenye usanii, wengi wao uelewa wao mdogo na wenye uelewa kidogo wamejaa tamaa ndo mana inakuwa rahisi kupelekeshwa na wenye mamlaka.
 
Hao ndio wasanii wanaojielewa katika kutoa michango chanya katika nchi yao.

Siyo Hawa wasanii njaa wa hapa kwetu Tanzania wannatumika Kama toilets paper kwa njaa ya siku moja
Haha onyesheni mfano wasanii watawafata kwenye hayo maandamano....yani mnataka kujifcha nyuma ya keyboard. tu halafu wengine waji sacrifice kwa ajili yenu halafu mwisho wa siku yatakayowapata yawe yao wenyewe nyie mtakachofanya zaidi ni kutoa povu tu na inaishia hapo.......everyone needs to play their part.......actions speak louder than words....
 
Wewe bwege movement zinaanzia mitandaoni , na wakuonyesha mifano ni wasanii.
Nigeria akina davido,Wizkid na wengine wengi wamemotivate maraia Hadi kitengo Cha kinyang'au Cha Polisi SARS kimefutiliwa mbali.
Hiyo ndio nguvu ya wasanii,hapo bongo nyumbani njaa,unafiki na misifa ya kijinga ndio imetawala chini ya utawala wa mshamba Magu
 
Hahaha ya mange ilianza mitandaoni na mwisho wa siku watu wakala buyu pumbavu nyie hamna kitu zaidi ya mapovu tu mitandaoni useless
 
Hii cycle ya bongo inachekesha sana

Wasanii wanawashangaa wananchi kwamba wao hawawez kupigania haki zao mpaka watafute mtu wakuwatafunia

Wananchi wanawashangaa wasanii ni vip hawawaigi wenzao kwenye mambo ya kupigania haki

Ukweli ni kwamba si wananch wala wasanii wa Tanzania wenye muamko wa kutaka mabadiliko kila mtu anaangalia tumbo lake
 
Akili fupi sana wewe boya.. !

This is what u deserve
Sipokei hizo dhawadi asee mie sidhaminiwi na wabeligiji hayo madude ndo mnayatolea povu ili myakalie kihalali.....msinihusishe na tabia zenu za ki ambaruti.....kamanda tumikia beberu akulipe hilo la kati
 
Back
Top Bottom