Kiboko ya Wajinga
Senior Member
- Jun 16, 2025
- 126
- 66
Wale wote wanaopambana mkuuHuo mzunguko wahi hizo 54 Trioni unawahusu watu wangapi among 65 miliontuliopo TZ? Utakuta circle ni ndogo sana so impact yake haiwezi kuonekana in a positive way, badala yake huwenda inasaidia kwenye kuongeza pengo kati ya walionacho na wasionacho.
Hapa KinondoniPesa imerudi mitaa gani hiyo?..
Idadi ya watu imebasilikaHata watoto wa darasa la nne watakuwa wanasema uko CCM kumejaa mambumbumbu yakutupa.
Kama 5.7% ni tsh 30 trillion
14.6% itakuwa tsh 54 trillion kweli? No.
14.6% ingekuwa tsh 76.8 trillion, hesabu za primary (cross multiplication).
Na hizo ni flyers ambazo mnasambaza nchi wakati hesabu za primary tu shida.
Sasa ndio utaweza elezea kuna hesabu gani za economics za kijinga hivyo. Not sure unajua tofauti ya velocity of money, GDP, PPP or any other circulation of money theory.
Hakuna hesabu za ujinga huo kwenye economics, ni ujinga tu mnatoa vichwani.
Lakini huko CCM kuna watu wa hovyo, na huyo Makalla mkurugenzi wa habari supposedly ni accountant, hakuna hayo mashudu ya kwenye hesabu tu,
HapanaKatika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Zote za kKatika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Mama katia grisi maishaRais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
HII NI KWELI KABISAMama katia grisi maisha
HESHIMA YAKO MKUBWAKwa hakika Rais Samia ni Zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana
Vipi upo poa. Hongera sana kwa kazi nzuri na njema ya kuendelea kuwafungua macho na akili Watanzania.HESHIMA YAKO MKUBWA
tupige kazi kiongozi wanguVipi upo poa. Hongera sana kwa kazi nzuri na njema ya kuendelea kuwafungua macho na akili Watanzania.
Ni kweli kabisa . Tuendelee kupiga kazi. Nashukuru watanzania huku mitaani wanaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais,kutoka na kazi kubwa alizozifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambazo zimegusa Maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa kila mtu.tupige kazi kiongozi wangu
sawa sawaNi kweli kabisa . Tuendelee kupiga kazi. Nashukuru watanzania huku mitaani wanaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais,kutoka na kazi kubwa alizozifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambazo zimegusa Maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa kila mtu.
CHAMA MBONA KINA RUZUKU KAMA NYIE CHADEMANdiyo hizo hela mlizonunulia baiskeli na pikipiki za makada wenu, pamoja na kuweka mabango yenu nchi nzima, au! Maana huku mtaani hakuna kitu mpaka muda huu naandika hapa.
Mimi ni mwanachama wa ccm ya enzi za Nyerere ya jembe na nyundo. Na kadi yangu ya chama bado ipo. Sema tu shida iliyopo kwa sasa ni hii ya kutowaunga mkono wahalifu na wahuni kujimilikisha chama.CHAMA MBONA KINA RUZUKU KAMA NYIE CHADEMA
umeasi?Mimi ni mwanachama wa ccm ya enzi za Nyerere ya jembe na nyundo. Na kadi yangu ya chama bado ipo. Sema tu shida iliyopo kwa sasa ni hii ya kutowaunga mkono wahalifu na wahuni kujimilikisha chama.