Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,908
No usipite soma maneno kama namba ziñakushindaNinachomshukuru Mungu ni kutojua hesabu, kwa hiyo kwenye mada kama hizi mimi napita tu
Si tulikubaliana shillingi inatudanganya, tutajie kwa dolar tuone uhalsia==
Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅

Acha urojoKatika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Hatà kubet ni kazi nzuriWe umekamata ngapi kiongozi baada ya mlegezo huo? Kenge wengine bado tunabet tu hapa kwa muhindi na bado si ndege si mnyama kwetu!
Labda kalegezea kwa wagombewa ili wajumbe washibe, tutapataga kombo badayee!
Reforms zipi?Kwa sasa Watanzania wanahitaji REFORMS kabla ya uchaguzi Mkuu, hayo mengine ni bwembwe tu. Sawa sawa na kuahidiwa pilau gelezani.
Endelea kujifanya Zumbukuku!!Reforms zipi?
Kuwa tu mkweli hata kama Reforms zitafanyika hamuwezi kushinda nyieEndelea kujifanya Zumbukuku!!
Ndio hivyoHili silipingi mkuu, Jana huduma ya mikopo ya mgodi ya M pesa imenikopesha laki 7 jambo ambalo ni nadra sana.
Kazi na UTU,Hizo hela mzunguko umeongezeka Kwa watu wa system sisi uku wauza matikiti stendi hakuna kitu