Hatimaye Vikosi vya JWTZ vyaanza kuondoka Zanzibar

Wewe una chuki na Zanzibar na wazanzibar, watu walikua wanaishi kwa khofu na wasiwasi na hivyo vikosi kuondoka ili watu waendelee na shughuli zao za kiuchumi na kujikwamua na umaskini wewe kumbe mwenzetu unaoneka haupendi na imekuchoma sana, vile visiwa kaviumba ALLAH na yeye pekee wa kuvilinda, utaniviona vile vile

Kwa kweli inakera . Watu wana argue kwa kutumia MITUSI. INASIKITISHA HATI GT.
 
Great Tinkers the hii forum ikifungwa mnaleta choko ... Invisible na hawa mod wa kuwaokoteza itatutokea puani. Huwezi kwenda 3 topics bila matusi sio kwamba wengine hawawezi kurudisha matusi but this is too low!

Sawa kabisa Great Tinker umenena haki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
JWTZ wameondoka Zanzibar? Kwa hiyo kisiwa hakina ulinzi siyo? Pongezi

Mpinga shetani umesoma na kuelewa kilichoandika au unapingapinga na kuhororoja tu? umeambiwa vimeondoka maeneo vilipokuwa vinapiga taralila sio vimeondoka Zanzibar? haya ni madhara ya kukariri majibu
 
Mlipeleka vikosi TZ kwani kuna vita au?
Mkishalewa madaraka ni rahisi sana kuondoka madarakani

Naona umezoea kushinda vikao vya urojo.Jwtz NI JESHI LA muungano liko Zanzibar miaka yote sio limepelekwa leo na litaendelea kuwepo.Hivi hujui kuwa suala la ulinzi ni swala la muungano kuwaona popli,na JWTZ maeneo mbali mbali ya Zanzibar kunakushangaza ni nini ndi kazi yao kulinda maeneo mbali mbali kama umewaona wanatoka eneo moja watakuwa wanaenda eneo lingine lakini zanzibar hawatoki ng`o.
 
Great Tinkers the hii forum ikifungwa mnaleta choko ... Invisible na hawa mod wa kuwaokoteza itatutokea puani. Huwezi kwenda 3 topics bila matusi sio kwamba wengine hawawezi kurudisha matusi but this is too low!

Kwa kweli inakera watu wanapo tumia matusi kwenye mada. Itabidi mods wawe wakali au sivyo forum itaharibika kabisa. Fikiria ukitaka kutoa mchango inabidi ujue kuna kutukwana ukiwa na wasiwasi basi mchango wako unaharibika. Hii si sawa. Mbona matusi hayaendani na GTs.
 
Naona umezoea kushinda vikao vya urojo.Jwtz NI JESHI LA muungano liko Zanzibar miaka yote sio limepelekwa leo na litaendelea kuwepo.Hivi hujui kuwa suala la ulinzi ni swala la muungano kuwaona popli,na JWTZ maeneo mbali mbali ya Zanzibar kunakushangaza ni nini ndi kazi yao kulinda maeneo mbali mbali kama umewaona wanatoka eneo moja watakuwa wanaenda eneo lingine lakini zanzibar hawatoki ng`o.

Nadhani hujaelewa topic
 
Mkuu,
weka Picha na video na vikosi hivyo vya JWTZ / TPDF vinaenda/vinarudi kambi au wapi?

attachment.php
 
Naona umezoea kushinda vikao vya urojo.Jwtz NI JESHI LA muungano liko Zanzibar miaka yote sio limepelekwa leo na litaendelea kuwepo.Hivi hujui kuwa suala la ulinzi ni swala la muungano kuwaona popli,na JWTZ maeneo mbali mbali ya Zanzibar kunakushangaza ni nini ndi kazi yao kulinda maeneo mbali mbali kama umewaona wanatoka eneo moja watakuwa wanaenda eneo lingine lakini zanzibar hawatoki ng`o.
Nadhani hujaelewa topic
 
Wewe mleta uzi hiyo picha itakuletea matatizo nadhani unawakumbuka wale wafanyakazi wa swissport
 
Wewe una chuki na Zanzibar na wazanzibar, watu walikua wanaishi kwa khofu na wasiwasi na hivyo vikosi kuondoka ili watu waendelee na shughuli zao za kiuchumi na kujikwamua na umaskini wewe kumbe mwenzetu unaoneka haupendi na imekuchoma sana, vile visiwa kaviumba ALLAH na yeye pekee wa kuvilinda, utaniviona vile vile
Hebu tunaomba mtueleweshe kidogo, mnaposema ALLAH mnamaanisha nini.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania,utaondoa vikosi utavipeleka wapi.maalim kenda kunywa juice tu,tusubiri marudio ya uchaguzi

Tehe! Tehe! Tehe! Kweli AKILI Ni Nywele!! Ww Kwa MTAZAMO Wako Huo Wa Kimsukule, Eti Kuondoa Majeshi, Basi Ina Maana Ya Kuyavusha Mipaka Tu!! Kumbe Mtoa UZI Alimaninisha KUYAONDOA Mitaani Na Barabarani Na Kurudi Makambini!!!! AKILI Ya KUZALIWA Tu Hiyo!! Pia Kufanyika Kwa UCHAGUZI Wako, Unaweza Kufanywa Na CCM Wenyewe, Ili KUENDELEA Kumuhidhinisha Dkt. Shein Akae Madarakani!!! Ila CUF Haiwezi KUKUBALI Kurejea UCHAGUZI Huo!!! Ndio Maana WANAMTAFUTA KUMSHAWISHI Akubali Kurejea Ktk UCHAGUZI!! KITU Ambacho YEYE Kama Maalim Seif Hana MAMLAKA Hayo!! Coz Ni Baraza Kuu La UONGOZI, Ndilo Lenye MAMLAKA Ya Kutengua Tamko Lake! Baada Ya KUPATA Ridhaa Ya Wanachama Wake!! Hivyo UCHAGUZI Wako Ni Kura Ya MAONI Tu!!!
 
Back
Top Bottom