Ni pouwa, ahsante na kwako pia....Mambo vipi mkuu? Heri ya Mwaka mpya. Mia
Yaani unataka wajishitaki? Unakumbuka yule trafiki alikamatwa Zanzibar akipokea ushwa? alijiekodi.Wanapoizungusha jioni au usiku wa manane wachukue video ili tuamini la sivyo itakuwa sawa na ile ya CCM ambayo hata haikuwaka wakati wa uzinduzi ikawa ni aibu tupu
Nahisi itakuwa haina mifumo ya kuifanya ipae angani imetengenezwa kwa hisia na kubahatisha na sio kwa mifumo rasmi.Kwanini Mkuu? Acha uoga.
Basi bwana hadi nitakapoiona inapaa ndipo nitakubali. Nimejaribu kuchungulia ndani inaonekana minyaya ipo wazi ingawa bodi imesukwa nadhani ni mfano wa chopa si chopa inayoruka. Hivi unajua Tomaso alifia india na alizikwa sehemu inaitwa thomas mountYaani unataka wajishitaki? Unakumbuka yule trafiki alikamatwa Zanzibar akipokea ushwa? alijiekodi.
Hongera kwa wazanzibari.Mkuu figganigga ni 'helikopta' au 'hedikopta'? Kama ni kweli, hongera kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Mawazo km haya ndiyo yamesababisha bara la Africa likaitwa bara giza. Na Mungu hakukosea kutuumba weusi.Waende shule kwanza....hatutaki wapewe vibali bila ithibati ya kitaaluma halafu kukitokea maafa serikali ilaumiwe kwa uzembe....
Nahisi itakuwa haina mifumo ya kuifanya ipae angani imetengenezwa kwa hisia na kubahatisha na sio kwa mifumo rasmi.
inaweza kuruka kama ndege alievunjwa mabawa kwa manati safari ikaishia nungwi.