Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka

Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka

Hawa ndo katika wale waliofutiwa masomo ya sayansi Enzi zilee...athari zake zinaonekana leo... Ngoja ni wape benefit of doubt kwakuwa sijaona analysis yao walioifanya na kufikia hiyo conclusion...
 
Nanyi mnawasikilizaje hao watoto wadogo wa vyuo vya dotcom!!!! Wakishapewa baadhi vihela vya kuhongea videmu vyao na kunywea bia wanachanganyikiwa na kuropoka. Kama wanahisi wana akili basi wauleze umma kitaalamu kwanini wanataka serikali mbili.
 
Kama hawa vijana wameshindwa kujitambua kwa level hiyo ya elimu, basi kuna mushkeli kwenye mitaala ya elimu nchini.
Kaka kama JK mwenyewe anawaza mikopo tu ili kuendesha nchi na rasili mali tunazo nyingi,na wanafunzi wengi ni ivyo wanasoma kwa mikopo lazima wawe na AKILI ya kitumwa.Maana AKOPAYE NI MTUMWA WA AKOPESHAYE.KAMA TULIVYO WATUMWA KUANZIA KIKWETE MPAKA MKULIMA watu wanachukua MENO YA TEMBO WETU na TUNAUFYATA SABABU YA UTUMWA.
 
Subirini kwanza mmalize shule mpate msoto mtaani ndio mtajua kipi ni bora kati ya serikali moja, mbili au tatu...

Sasa bado mnavishwa na kupadilishwa pampers wala hamuwezi kuelewa vijana ninyi...
 
Hebu andika T.I.A wewe Msukule wa Ufipa. Au hujui maana ya sentensi tata?

Utakuwa Kadinda wewe

U.D.S.M
I.F.M
S.U.A
M.U
C.B.E

Ingekuwa hivi tungekoma, sijui umesoma wewe au?? kwani unakuwa mngese lakini.
 
Wewe jifariji tu na huko kwenu kusiko na jina.
Naona una ID nyingi nyingi tofauti- unacomment mwenyewe , una reply mwenyewe; mwaka huu mtaomba POO tu. Ushauri umpelekee JK: Kwa sababu kashaisha sababisha nchi kuwa vipande vipande (Udini/ukabila na utafaifa), na kwasababu anaogopa kuimalizia kabisa (Zanzibar kivyake na bara kivyake) mwambie atangaze mchakato wa katiba ni haramu basiii. Hadi atakapo kuja Rais dume wa kuongoza nchi na mchakato mpya wa katiba.
 
Naona una ID nyingi nyingi tofauti- unacomment mwenyewe , una reply mwenyewe; mwaka huu mtaomba POO tu. Ushauri umpelekee JK: Kwa sababu kashaisha sababisha nchi kuwa vipande vipande (Udini/ukabila na utafaifa), na kwasababu anaogopa kuimalizia kabisa (Zanzibar kivyake na bara kivyake) mwambie atangaze mchakato wa katiba ni haramu basiii. Hadi atakapo kuja Rais dume wa kuongoza nchi na mchakato mpya wa katiba.

LOWASSA aka mzee wa kugoma kuvua gamba simpendi lkn kwa hali jinsi navoiona Bora hiki kidume kikalie mjengo ili kiweke mambo sawa.. naona wale wazee wa longolongo hapo ndio mwiba wenu unapochomea. msiwe na wasiwasi tutauchomoa taratiiiibu tulieni tu. muda ukifika mtasema wenyeeewe
 
Utakuwa Kadinda wewe

U.D.S.M
I.F.M
S.U.A
M.U
C.B.E

Ingekuwa hivi tungekoma, sijui umesoma wewe au?? kwani unakuwa mngese lakini.

Heri yako wewe msomi wa Chuo kikuu...mimi nimeishia darasa la saba, tena nilimaliza mwaka 1995.
 
Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa.

Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati kwanini walisini posho hadi tarehe 30/04/2014?

Ndugu zangu viongozi wa ukawa hawana nia ya dhati na Taifa letu.

Ni upuuzi tu! Ni yale yale ya wazee wa Dar es Salaam, Wasomi wa vyuo vikuu, wanafunzi wa vyuo vikuu, viongozi wa makanisa. They all sum up to a stupid group.

Baadaye mutasema UKAWA wagawanyika na mengine mengi. Haisaidiii na nashangaa kwamba hadi leo hii bado kuna wajumbe hawajui maana hasa ya UKAWA kuondoka. Bado wanajisemea kwa kuamini watashinda tu.

Masikitiko yangu ni kwa Taifa kufikia hali hii ambayo hata aliyestahili kuitwa msomi, sasa siyo tena msomi!
 
Heri yako wewe msomi wa Chuo kikuu...mimi nimeishia darasa la saba, tena nilimaliza mwaka 1995.

Kweli mimi ni msomi kweli, aka ndio ka profile kangu ka elimu.
~B.com (Hons) UDSM
~Msc.Finance (University of Strathclyde)
~CPA (T) (NBAA)
~Ph.D Finance (Strathclyde)

Asante sana.

Jifunze kuelekezwa na kujifunza kutokana na mawazo tofauti sio unasimamia tu yako weee na matusi bila hoja.
 
Back
Top Bottom