Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka

Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka

Nimejaribu kuwauliza vija na wa UD wengi wao hawajui kabisa hizo habari za tamko kwa hiyo hao waliotoa tamko ni waganga njaa tu.
 
mi ndo maana nimeamua kufanya mambo mawili katika maisha yangu 1;kutafuta pesa
2;kuwajali wanaonipa furaha
politics in tanzania ngumu sana tangu ya zito mpaka sasa hamu inaniisha nikiwaza kodi ccm wanavyoichezea daah napata uchungu sana
 
Nimejaribu kuwauliza vija na wa UD wengi wao hawajui kabisa hizo habari za tamko kwa hiyo hao waliotoa tamko ni waganga njaa tu.

ulitegemea hao waliuluzwa ni wote, sikiliza kama unaitaji no. Zao nibora useme ili utumiwe na huwaoji kulikoni. Kutetea viongozi wa Ukawa ni sawa na kuliangamiza Taifa. Viongozi wa ukawa hawajitambui. Ni mazuzu hao na wanawaza kwenda Mombasa
 
Nimejaribu kuwauliza vija na wa UD wengi wao hawajui kabisa hizo habari za tamko kwa hiyo hao waliotoa tamko ni waganga njaa tu.

Ina maana UD hakuna uongozi wa kulikanusha hili kama kweli hawakushiri ,au hawajapata taarifa zozote?
 
Kama wale vijana wa western collage, azania, cilosi sijui, kariakoo, highbrige n.k sawa nao ni vijana wa vyuo pia

Lakini kama wale wa UDSM, IFM, SUA, MZUMBE, TIA nk sijazani kama wanaweza kuonge hayo.

Ndiyo nini?
 
Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa. Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati kwanini walisini posho hadi tarehe 30/04/2014? Nduguzangu viongozi wa ukawa hawana nia ya dhati na Taifa letu.

Nenda kawaambie hizi sio zama za mawe,hizi ni zama za kidigitali zaidi,wasomi njaa hao.
 
Hawawezi kujiita wasomi wenye mawazo mepesi kama yale. Pia wasomi gani wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa kuogopa kukosa mkopo?!!. Tanzania sasa hakuna wasomi kuna wanaomaliza chuo kikuu
 
Nyie Dv 5 mkoje?mods siku hizi hamfanyi kazi kabisa,hiki ni kituko gani sasa?mtu hajui TIA ni kitu gani? ma nyoko wewe.

Hebu andika T.I.A wewe Msukule wa Ufipa. Au hujui maana ya sentensi tata?
 
ulitegemea hao waliuluzwa ni wote, sikiliza kama unaitaji no. Zao nibora useme ili utumiwe na huwaoji kulikoni. Kutetea viongozi wa Ukawa ni sawa na kuliangamiza Taifa. Viongozi wa ukawa hawajitambui. Ni mazuzu hao na wanawaza kwenda Mombasa
na ww upo UDSM?
 
We jamaa nimekufatilia toka mchango wako wa kwanza mpaka sasa,chakusikitisha nlichokigundua ni kua,kwanza ujui kuandika kiswahili,hoja zako ni za kipu.mbavu unatetea tuu ujui unaongea nini,unatafuta watu wakujibizana nao nahisi uko uliko huna kazi hivyo unapotezea mda jf.cha kukushauri kaa chini ujitafakari ni matumaini yangu kua wew ni mtu mzima unaweza kukaa kimya ama ukasoma komenti za watu wengine, baadae mwisho wa siku na wewe utajua namna ya kuchangia..acha pumba kijana.
 
We mleta mada na ww umetumwa vijana gani hao wa vyuo vikuu? Acha kudanganya watu. Taja basi hvyo vyuo ebooo..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mada yenyewe ina hoja dhaifu kama viongozi wao walivyo dhaifu. Hoja za kukariri..serikali tatu mzigo...wanaishia hapo hakuna maelezo ni mzigo kivipi?!
 
Kumbe lumumba buk 7 fc siku hizi wameshakuwa wasomi wa vyuo vikuu???? Mbinu za kitoto hizi ptuuuuuu
 
Back
Top Bottom