Du!, Rafiki lazima wewe utakuwa na tatizo na Ukawa na wala hoja yako siyo maelezo ya wanafunzi wa vyuo kufunguka. Lengo lako ni kuelezea posho za wajumbe hao. Kwanza wanayo halali ya kuchukua posho na wala hawatakiwi kurudisha au kuulizwa kwa nini wamechukua?. Ilikuwaje wakapewa posho hadi tarehe 30/04/2014!. Bila shaka huu ni ufisadi wa serikali yako na pia lengo lilikuwa ni hogo ambayo walitoa ili wapitishe serikali 2. Jiulize; Ratiba ilionesha kuwa tarehe 25 ni mwisho wa Bunge, na pia kuanzia Alhamisi walijua Bunge linaenda Mapumuziko hadi Jumanne. Sasa ilikuwa walipwe hadi tarehe 30. Kabla ya kuoji kwanza wambie akina CCM warudishe zile walizopeana kwa ajili ya kwenda kutanua. Waache Ukawa watumie posho hii kuelimisha wananchi kutambua haki yao!.