Hatimaye ujenzi wa Barabara ya Makongo Juu umeanza

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
774
Reaction score
1,464
Baada ya kusubiri kwa miaka na miaka kama Wakiristo wanavyosubiri ujio wa Masihi, hatimaye leo 12-1-2020 ujenzi wa barabara ya kutoka Chuo cha Ardhi mpaka Makongo Juu na Goba umeanza.

Cha kushangaza kidogo ni kwamba ujenzi umeanzia hapa Chuo cha Ardhi kwenye posta na mabweni. Wamefumua ile lami nzuri wanajenga upya.

Hakika hili ni jambo la kumshukuru Mungu na walipa kodi. Kodi yenu inafanya kazi.

Magari hayapiti kabisa kwenda Makongo Juu. Sasa unalazimika kuingia Chuo cha Ardhi na kupita huko nyuma nyuma hadi CCM.

1578841721867.png

1578842052547.png

1578842071679.png
 
LEO WAMETESA WATU KILE KIBAO CHA BARABARA KUFUNGWA WANGEKIWEKA MAPEMA TU BAADA YA KUTOKA M.CITY WENGI WASIOJUA IKABIDI WAGEUZE WACHACHE NDO WAMEPITA CHUO CHA ARDHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusubiri kwa miaka na miaka kama Wakiristo wanavyosubiri ujio wa Masihi, hatimaye leo 12-1-2020 ujenzi wa barabara ya kutoka Chuo cha Ardhi mpaka Makongo Juu na Goba umeanza.

Cha kushangaza kidogo ni kwamba ujenzi umeanzia hapa Chuo cha Ardhi kwenye posta na mabweni. Wamefumua ile lami nzuri wanajenga upya.

Hakika hili ni jambo la kumshukuru Mungu na walipa kodi. Kodi yenu inafanya kazi.

Magari hayapiti kabisa kwenda Makongo Juu. Sasa unalazimika kuingia Chuo cha Ardhi na kupita huko nyuma nyuma hadi CCM.

View attachment 1320897

View attachment 1320904

View attachment 1320905

Tunashukuru kwa taarifa, ila siku nyingine usifananishe jambo lolote katika mazungumzo yako na ujio wa Masiha. Hiyo ni kufuru.
 
Prof Mkandala,D. Yona na wengineo wamekubali kuvunja kuta zao?
 
Baada ya kusubiri kwa miaka na miaka kama Wakiristo wanavyosubiri ujio wa Masihi, hatimaye leo 12-1-2020 ujenzi wa barabara ya kutoka Chuo cha Ardhi mpaka Makongo Juu na Goba umeanza.

Cha kushangaza kidogo ni kwamba ujenzi umeanzia hapa Chuo cha Ardhi kwenye posta na mabweni. Wamefumua ile lami nzuri wanajenga upya.

Hakika hili ni jambo la kumshukuru Mungu na walipa kodi. Kodi yenu inafanya kazi.

Magari hayapiti kabisa kwenda Makongo Juu. Sasa unalazimika kuingia Chuo cha Ardhi na kupita huko nyuma nyuma hadi CCM.

View attachment 1320897

View attachment 1320904

View attachment 1320905

TUPE UPDATE MKUU, NA HII BARABARA YENU YA MAKONGO JUU! UJENZI UNAENDELEA AU NDO WAMEFUMUA TU ILE RAMI YA PALE ARDHI KISHA WAMEENDA HOLIDAY??

JASCO Constructions Limited Mungu anawaona kwa kweli sio kwa kututesa huku sie watu wa makongo! mkaona haitoshi na kale karami ketu mmekatoa kabisa kisha mmepotea.
 
Back
Top Bottom