Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Tuliza mshono mshangaziAkili za kijinga kama hizi CCM wataongoza Kwa miaka mingi sanaa
Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
Hongera huu uzi wa 20 leo na jana unaandika haya haya. Naomba nijifunze umepata ushindi dhidi ya nani na umepataje ushindi?Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
InasikitishaKwa akili hizi Tundu lissu asijisumbue
Naumia sanaInasikitisha
Wavaa kobazi akili zenu mnazijua wenyewe Dini ya haki hadi muarabu awaletee ndio mkaijua so.mabanu zenu wote wapo motoniTakbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
Imekuwaje hii dini ikaingia milimani aisee?Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
MUNGU haTakbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
Mungu hana Dini,ni Mungu YG wote,Dinii ni Taasisi za watu tuTakbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir