Hatimaye uhusiano unaendakuisha

Hatimaye uhusiano unaendakuisha

Muoe. Ukimkosa huyo utahangaika maisha yako yote usimpate wa kureplace......kitachitokea akiolewa atakuwa busy na mumewe usidhani utamoata kirahisi tena
 
Unajua usichanganywe na muonekano,hujui Mungu anapanga nini mbele,unaweza ukaja ukajuta sana na utakuwa ushachelewa.... all in all usije ukafanya jambo ambalo baadae ukaja ukajutia!! unaweza ukampata "huyo"ambae unamuwaza akawa mateso kwako ukajuta
Ndivo inavyokiwaga
 
Ehe huyo tumeskia story, tupe story ya mwingine tena
 
To get a woman is quite simple task...to get a soul mate utazurura miaka yako yote imebaki hapa duniani....nanutakuwa wa.mwisho kutoka bar miaka yako yote
 
Duh.ujumbe wa hataar sana huu
 
Kama shida ni tatoo mbona zinafutwa?

Huyo mko nae Malaysia?We ndo umfungulie biashara?..au sijaelewa?...

Kuna period ya kuchagua lazima uringe
Na kuna period ya kuchaguliwa hapo ndo kazi ipo..
She lived there...binti ambae kapitia meng..now ametulia...she used to smoke bro..tatoo kibao..yan hata kutoka nae inakuaga shida..sema anajutia sana..sometime had anavaa nguo zinazoziba tatoo zake..ila ni mzur waa sura na umbo
 
Kuna shemej yenu mmoja ambae nipo nae mda kidogo. kiukwel nimepitia mahusiano meng..kiufup zile achana achana nmepitia za kutosha mpaka moyo wangu umekua kama chuma.

Huyu bint toka nimekua nae yeye akili yake ni kwamba mim nimuoe....
Ila kiukwel mim sjawai muwazia kabisaaa

Yaan mim nipo nae tu na enjoy company yake etc.. tatzo langu mim treatment yangu kwa mwanamke huwa ni ile ile..hata kama sina mipango nae huwa namtreat kama nina mipango nae.

Siku zote bint anataka a move in..mim nakwepa..kumtambulisha to friends ndugu etc namkwepa sanaa..anataka pia tuzae mi sababu kibao..kiufup bint amejitoa 100%..na ni mda mref kdogo kama 2yrs hiv sasa....
Nachompendea tu huyu bint ni kwamba..amenipenda..bint akikupenda kwasis wakongwe tunajua..so sihitaj kueleza sana

Kanifumania sana msg etc..lakin yupo tu
Tatzo lilipo huyu bint mim siwez muoa hata iweje na nina sabab zangu nying tu..
Infact huyu dem nae ana stor yake yaan amekwepa mishale ming pia...
Shez kinda girl ambae ni freesoul..ana tatoo nin mrembo.mnyamwez yan..yaan dem ambae alikua kicheche nw ametulia..madem wa malaysia wale.wabongo waliosoma malaysia..micharuko..mshaelewa

So..kwa alivyo tu.yaan nawazaga hv with tht look namtambulishaje home.sbaab si hyo tu zipo nying.

Kufupisha;.
Niliwai jisahau sku1 nkamwambia wee bwana tafta mtu mwingne.hyo mitatoo yako nakupeleka wap.(nilikua nimelewa)

Dem alilia sana..huyu dem ananipenda kiukwel....sasa juzi kanichana kwamba ujue napoleone mi nakupenda snaa ila huna dalil ya kuwa namim...najua hutonioa najua

Dah nilijiskia vbaya snaa..nkazuga zuga tuu
Sasa..katika harakat za hapa na pale niliwai mwambia kuwa mi najua utakua na mtu pemben na sikulaum sbaab umeona mim sina future nawew...na najua una strugle sana na huyo mtu...najua hilo...amekataa kuwa hana na amelia sana kwamba namtaftia sabab nimwache..

Sasa mi mkongwe najua yupo tu mwana ambae anachunwa huko..huyu dem ananunuaga mazaga hapa kwangu na mazawad had najiuliza anapata wap hela za kuchezea hvo...

So tupo kwenye situation hyo na huy bint
Mi nmeshkuru kwamba angalau ameconfirm kuwa sitokuja kumuoa na kwamba ipo siku ntamuacha maana ndo kutu kilikua kinaniuma sana.kumwcha huyu bint.sabab najua ananipenda sana

Yaan nmesema hata nikija mwacha huyu lazima awe close namim..yuko loyal sana kwangu yaan naweza hata mwachia hela au account zangu akazitunza..very loyal
Nampango kabla sjamuacha nimfungulie mradi/biashara kamaa njia ya ku ji cleans

Ila sasa ndo hvo kumuoa siwez..hayuko moyon nitamtesa tu..na enjoy tu company yake
Uzi tayar(nmeona nishee na wadau)
Daaah Mungu anakuona we kijana kwann huwa mnatufanyia hivi Lakin
 
Nilichoona hapo una mixed feelings tu , hakuna kingine , na ukitaka kuamini ni kweli muache hata kesho mkae mbali hata wiki 2 tu.
 
She lived there...binti ambae kapitia meng..now ametulia...she used to smoke bro..tatoo kibao..yan hata kutoka nae inakuaga shida..sema anajutia sana..sometime had anavaa nguo zinazoziba tatoo zake..ila ni mzur waa sura na umbo
Man up!! my bradha .

Mshauri akafute hizo tatoo kwanza Kama haiwezekani at least zile za kuonekana zifutike

Mpe hata kibendi
 
Kuna shemej yenu mmoja ambae nipo nae mda kidogo. kiukwel nimepitia mahusiano meng..kiufup zile achana achana nmepitia za kutosha mpaka moyo wangu umekua kama chuma.

Huyu bint toka nimekua nae yeye akili yake ni kwamba mim nimuoe....
Ila kiukwel mim sjawai muwazia kabisaaa

Yaan mim nipo nae tu na enjoy company yake etc.. tatzo langu mim treatment yangu kwa mwanamke huwa ni ile ile..hata kama sina mipango nae huwa namtreat kama nina mipango nae.

Siku zote bint anataka a move in..mim nakwepa..kumtambulisha to friends ndugu etc namkwepa sanaa..anataka pia tuzae mi sababu kibao..kiufup bint amejitoa 100%..na ni mda mref kdogo kama 2yrs hiv sasa....
Nachompendea tu huyu bint ni kwamba..amenipenda..bint akikupenda kwasis wakongwe tunajua..so sihitaj kueleza sana

Kanifumania sana msg etc..lakin yupo tu
Tatzo lilipo huyu bint mim siwez muoa hata iweje na nina sabab zangu nying tu..
Infact huyu dem nae ana stor yake yaan amekwepa mishale ming pia...
Shez kinda girl ambae ni freesoul..ana tatoo nin mrembo.mnyamwez yan..yaan dem ambae alikua kicheche nw ametulia..madem wa malaysia wale.wabongo waliosoma malaysia..micharuko..mshaelewa

So..kwa alivyo tu.yaan nawazaga hv with tht look namtambulishaje home.sbaab si hyo tu zipo nying.

Kufupisha;.
Niliwai jisahau sku1 nkamwambia wee bwana tafta mtu mwingne.hyo mitatoo yako nakupeleka wap.(nilikua nimelewa)

Dem alilia sana..huyu dem ananipenda kiukwel....sasa juzi kanichana kwamba ujue napoleone mi nakupenda snaa ila huna dalil ya kuwa namim...najua hutonioa najua

Dah nilijiskia vbaya snaa..nkazuga zuga tuu
Sasa..katika harakat za hapa na pale niliwai mwambia kuwa mi najua utakua na mtu pemben na sikulaum sbaab umeona mim sina future nawew...na najua una strugle sana na huyo mtu...najua hilo...amekataa kuwa hana na amelia sana kwamba namtaftia sabab nimwache..

Sasa mi mkongwe najua yupo tu mwana ambae anachunwa huko..huyu dem ananunuaga mazaga hapa kwangu na mazawad had najiuliza anapata wap hela za kuchezea hvo...

So tupo kwenye situation hyo na huy bint
Mi nmeshkuru kwamba angalau ameconfirm kuwa sitokuja kumuoa na kwamba ipo siku ntamuacha maana ndo kutu kilikua kinaniuma sana.kumwcha huyu bint.sabab najua ananipenda sana

Yaan nmesema hata nikija mwacha huyu lazima awe close namim..yuko loyal sana kwangu yaan naweza hata mwachia hela au account zangu akazitunza..very loyal
Nampango kabla sjamuacha nimfungulie mradi/biashara kamaa njia ya ku ji cleans

Ila sasa ndo hvo kumuoa siwez..hayuko moyon nitamtesa tu..na enjoy tu company yake
Uzi tayar(nmeona nishee na wadau)
Hapo pa kumfungulia mradi nimekubali wewe ni mwamba. Kuji safisha ni jambo jema, maana dunia duara.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom