Hatimaye tumepima UKIMWI na mchepuko

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,806
Reaction score
7,429
Siku ya Jumapili iliyopita nilileta mada kuomba ushauri jinsi navyoweza kupata PEP baada ya kuuza mechi.Sasa yule mwanamke nilimshawishi kwenda kupima akakubali na siku ya Jumatatu tukaenda kupima na kukutwa hatuna maambukizi.

Nilichojifunza:
1. JF watu wamejawa na hofu na vitisho wanaamini katika negative impact pasi na kifikiri kuwa kila jambo lina chance of 1/2 of win and loose, hivyo kila mtu ajenge msimamo wake kadiri alivyo kuzwa.

2. UKIMWI upo ila sio kila mtu anao, wengi hawana na wachache (10%) wanao na waliobaki ni wazima. Hii ni kutokana na ukweli kwamba tangu nianze kuitumikia dhambi ya Adamu na Hawa nimeshauza mechi mara sita mikoa ya nyanda za juu ambapo maambukizi yapo juu na sijawahi kupata maambukizi wala STD zaidi ya fangasi ambao ni common hata usipo date.

3. Uchaguzi wa mtu wa ku date nae ni jambo la msingi sana kuna wanawake wapo vurnarable t u hivyo si vyema kuuza mechi ukidate nae, mfano baamedi.

4. Kupima ni jambo la msingi sana na linakupa confidence ya maisha.

5. Kama huna sababu ya kudate nje ya ndoa hakuna sababu ya kufanya hivyo, binafsi naingia mtegoni kutokana na kuishi mbali na familia kikazi ila nikiwa home sithubutu na hakuna sababu.
 
We endelea kuuza mechi na kupima mana unachokitafuta kiko njiani soon utakipata.
 
Sasa mkuu tukikutisha unalalamika...tukikutia moyo unalalamika sasa tukueleweje?😁
Kwa nini unasema nikazane, mbona nimekwambia kuwa nipo mbali na wife hata miezi, hivyo kama mwanaume kamili nahitaji love, but ilitokea bahati mbayandani ya miaka sita nimekuwa najikinga ila j2 ikawa balaa nisilolitarajia.Mkuu haujawahi kuuza mechi maisha yako yote? Basti unabahati sana.
 
Nje ya mada kidogo mkuu kuna swali huwa linanisumbua sana!

Kwanini mliooa mnachepuka?
 
Nje ya mada kidogo mkuu.. kuna swali huwa linanisumbua sana!

Kwanini mliooa mnachepuka?
Sema kwa nini mlio oa mnapenda kula kavu.
Kwa nini tunachepuka?

Kabla sijaoa nilikuwa nikiamini kuwa nikioa sitachepuka kumbe nilikuwa najidanganya.Sababu ni nyingi binafsi nazunguka kutafuta maisha hivyo nakuaga mbali na mke.Sijawahi chepuka nikiwa eneo alipo wife.

Kingine sio wanawake wote wanaweza kumtosheleza mwanaume, wanaume wengine nguvu zimepindukia,hivyo hutafuta mchepuka kufidia.Wanaweka wazuri ni wengi, jama unatamaa utachepuka tu.

Marafiki nao wanachangia.
 
So far na utu uzima huu ,ukiweka mechi ya uwanja wa nyumban ,mechi za nje nimeuza 3 kati ya 6 nilizocheza viwanja tofauti tofauti na kwenye kupima pia naujua mziki wake ...sasa nasikitika huutaki ushauri wangu
 
Siku ya Jumapili iliyopita nilileta mada kuomba ushauri jinsi navyoweza kupata PEP baada ya kuuza mechi.Sasa yule mwanamke nilimshawishi kwenda kupima akakubali na siku ya Jumatatu tukaenda kupima na kukutwa hatuna maambukizi...
Adam na Hawa walishayamaliza yao, sasa jibebee ya kwako!
 
Sijui itakuwaje,ila nilimwambia akanywe dawa ila inaonekana anahamu na mtoto, baada ya kupima tulikamuilisha kiporo ila hajanywa dawa.Akipata mimba ntaleta mrejesho tujadili jinsi ya kuikubali mimba
'Tujadili' na nani?
 
Safi sana kijana.
 
Kama unajisifia kuuza mechi vile, Kuwa makini mkuu usije leta huyo mdudu nyumbani kwa wife (innocent). Na kwanini na vitisho vyote hivi vya HIV bado unapata guts za kuuza mechi more than once?? Sikio la kufa kweli halisikii dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…