Hatimaye tcu waamua kuvunja ukimya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye tcu waamua kuvunja ukimya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jilanga, Jul 27, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa mujibu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania, majina ya first round /1butch yako tayari ya wata-release on 4-August 2011! Na kuanzia tarehe 1 August 2011 wataanza kupitia majina ya second round/2butch mpaka 22 August 2011! Ambapo mjina yake watarelease on 4th September 2011! Applicants Karibuni sana Elimu ya juu Hususan.....! Kila la kheri!
   
 2. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante kwa info mkuu!ila pia source ni muhimu sana kuonyesha!
   
 3. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tembelea website yao utakuta New ya njano then PUBLIC in uppercase! There u'll get full info!
   
 4. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dairly news ya jana inaeleza vema!!!! Lakini hawana maana kwa nini wasitoe majina kisha waanzae na round ya pili? Inawezekana mzigo ulikuwa bado!!!!
   
Loading...