Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Leo wameona aibu....nilifurahi zaidi nilipoona wanaonesha matukio ya mwisho kabisa hata itv ilipokuwa imechomoka hewani. TBC tendeni haki....
Lowassa kwanini hatabasamu? kama kala limao. Kajawa na visasi tuuu.
Niliona release yao kuonywa na tume ya mawasiliano. ni baada ya kupewa onyo kuwa tabia yao ya kurusha taarifa kwa upendeleo ikiendelea watachukuliwa hatua za nidhamu siyo tuu wamerusha bure. walionywa tabia ya kurusha matangazo hasa ya kamoeni kwa kupendelea vyama. na pia uchambuzi wao wa magazeti kinyume na ilivyoandikwa na kuscha kusoma habari za vyama vya upinzani
Wamesoma upepo, wamegundua lolote laweza tokea, hivyo wameona wasipuuze wapinzani Mazima.
Mabadiliko hayazuiliki. Hapa naangalia mkutano wa ukawa kupitia TBC, haki yetu kodi zetu tuzitumie wote!
Wamefulia TBC lazima waonyeshe mkutano
Hahaaa piiiiipooooz Huwezi uficha moto
haaaa...NOANA TBC WANARUKA RUKA KAMA WAMEMEZA KAA LA MOTO.
..hahaa mficha ...... hazai.!
Mchakamchaka
sijaona ila kama ni kweli basi inawezekana pepo ccm ndio anawatoka kwa sasa
tena katika ubora ulio wa hali ya juu
Leo imewabidi tu