Mabadiliko hayazuiliki. Hapa naangalia mkutano wa ukawa kupitia TBC, haki yetu kodi zetu tuzitumie wote!
Tbccm,ni wanafikiSi walitaka kufungiwa jana ndo maaana wameweka leo waliwaambia wanaupendeleo
Nimeangalia ikakata baada ya mzunguzaji mwenye kapello kusema .. " Chadema wamefanya utafiti na kugundua Lowassa kakandamizwa kutokana na makundi ndani ya CCM kwa miaka 10".. akaendelea kusema kwamba wakubwa zake watakuja kuelezea zaidi kwanini Lowasa.."CHADEMA - wogmedia - life is live angalia kwenye simu na internet
Heri zaidi kuliko mfalme mzee juha.Kheri kijana masikini mwerevu,mnyenyekevu kuliko mfalme mzee mpumbavu asiyesikia maonyo.Nanukuu.
Mabadiliko hayazuiliki. Hapa naangalia mkutano wa ukawa kupitia TBC, haki yetu kodi zetu tuzitumie wote!