Hatimaye Suarez akili na kumuomba msamaha Chiellini

Hatimaye Suarez akili na kumuomba msamaha Chiellini

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,896
Baada ya kubanwa na barcelona ili waingie nae mkataba ameamua kukili na kumuomba msamaha jamaa.
article-2675464-1F4784CF00000578-203_634x375.jpg

hii ni tweet ambayo alimtumia chiellini.

Source: www.dailymail.co.uk
 
Masikini lugha yetu pendwa, umetukosea nini Watanzania! Huna hata wa kukutetea.
 
Suarez angekuwa kibogoyo angefika mbali sana kimichezo
 
Amewaangusha wale wote walioandamana kumuunga mkono kwa kuamini kauli yake kwamba hakumn'gata Chiellini ila aligongana naye tu kwa nyuma. Walioangushwa hivyo ni pamoja na rais wa nchi yake. Funzo: 1. Ingawa mtu lake halimtapishi, lakini si sahihi kumuunga mkono mkosefu; haimsaidii bali humwongezea kiburi zaidi. 2. Njia ya mwongo ni fupi, lakini ya mnafiki ni finyu pia.
 
Back
Top Bottom