Hatimaye Startimes wameachia

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,822
Hakuna kitu kilichokuwa kinaniudhi kulipia local Chanel,yaani Startimes ilikuwa TBC 1na Safari tv ndo zilikuwa free,zingine ilikuwa mpaka ulipie

Ghafla nafungulia Tv nakuta local channels zingine ziko free

Asante mhe Ndugulile
 
Mkuu hiyo dekoda yako ya mwaka gani? Ndo chenye kadi au kile chenye kadi ya ndani?
 
dstv mtukumbuke basi locals zingine tunapata TBC tuu, hadi nimeanza kumpenda Magufuli wakati sikuwa namkubali hata kidogo
 
Hakuna kitu kilichokuwa kinaniudhi kulipia local Chanel,yaani Startimes ilikuwa TBC 1na Safari tv ndo zilikuwa free,zingine ilikuwa mpaka ulipie

Ghafla nafungulia Tv nakuta local channels zingine ziko free

Asante mhe Ndugulile
Chaneli za bure mbona toka 2019 walikwisha ziruhusu.... ina maana toka mwaka huo ulikuwa haujawasha?
 
Hii maisha imekuja kuwa nguvu. Nilisha achaga kulipia aisee

Nateleza na kitonga cha startimes
Napata channel kama 9 iv
1. tbc-1
2.channel 10
3.star tv
4. Itv
5. Eatv
6. Tv E
7. Ndago tv
8. Channel 10+
9. Safar channel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…