prosper mshumbuo
New Member
- Mar 9, 2012
- 4
- 1
sasa kitaitwa st.Joseph University in tanzania(SJUIT)
sasa kitaitwa st.Joseph University in tanzania(SJUIT)
sasa kitaitwa st.Joseph University in tanzania(SJUIT)
Kiwe kisiwe isitutishe cha muhimu ni kama elimu inapatikana na kama wadau wa pale wanapata ajira kama hawapati hata kikipata usajili ni kazi bure kama UDOM mbona kina usajili halafu waajiri wanasema hatuwataki wa hivi!!!
Bado "magogoni university".
Hizi taarifa ni rasmi au ni mawazo binafsi? Maana mpaka chuo kinapewa hadhi ya university lazima vigezo na masharti vizingatiwe, na kwa st. joseph kiukweli bado haijafikia kuitwa university.
Ulishaona University yenye Prof Moja... tena kutoka India, wao hata mtu wa Veta anafundisha...
Embu TCU iwe serious, kwanza wanaharibu Elimu yetu
bora nusu kamili kuliko shari nzimamakubwa.
prof mmoja sio tatizo kuna watu wana masters tu lakini wamefanya makubwa kuliko hata hao maprofesa,mfano kuna senior lecturer mmoja hv anafundisha udom pale kapata phd mwaka jana,anaitwa dr leonard mselle,huyu ndo mtu pekee tanzania mwenye computer language yake inaitwa memory transfer language(MTL) sasa mtu kama huyu uta mfananisha na profesa gan,kwa hiyo ata st joseph kuna watu sio maprofesa lakini ni compitent kuliko unavyo fikiri
kwenye red una uhakika??????!!!Ulishaona University yenye Prof Moja... tena kutoka India, wao hata mtu wa Veta anafundisha...