Hatimaye Sio Mungu Tena.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Sio Mungu Tena..

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 14, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Deepak Paswan alivyokuwa awali na alivyo sasa kwenye picha ndogo kulia</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Saturday, June 12, 2010 1:39 PM
  Mtoto aliyezaliwa nchini India akiwa na mikono minne na miguu minne ambaye alikuwa akiabudiwa kama mungu amepoteza uungu wake baada ya kufanyiwa operesheni kuondoa mikono na miguu iliyozidi.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Deepak Paswan, 7, alizaliwa katika sehemu za watu masikini nchini India akiwa ameungana na pacha wake kwenye tumbo. Alikuwa na miguu minne na mikono minne lakini kichwa kimoja.

  Waumini wa dini ya Hindu katika kijiji chake kilichopo kwenye jimbo la Bihar walikuwa wakimtembelea nyumbani kwake wakimuabudu kama Mungu wa Kihindu anayeitwa Vishnu.

  Familia yake haikufurahia jinsi mamia ya watu walivyokuwa wakienda nyumbani kwao kwaajili ya kumuabudu mtoto huyo na waliomba msaada kwa watu ili mtoto huyo afanyiwe upasuaji.

  Hatimaye maombi yao yalikubaliwa mei 30 mwaka huu na hospitali moja katika mji wa Bangalore ilikubali kulipa gharama zote za kumfanyia operesheni mtoto huyo.

  Baada ya operesheni ngumu ya masaa manne, madaktari walifanikiwa kuondoa viungo vilivyozidi toka kwenye mwili wa mtoto huyo.
  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...