Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,266
- 166,396
Mbona nasikia huyu bwana ni fisadi wa kutupwa?
Ila nasikia alikamatwa kama jasusi, alivamiwa nyumbani kwake Kiluvya usiku wa manane na kikosi maalum cha makomandoo.
Na alipokamatwa alipelekwa lkulu ambako alihojiwa moja kwa moja na rais kisha akatupwa gerezani ambako watu walikuwa hawaruhusiwi kumtembelea wala kumjulia hali.
Hii ilitakiwa ipelekwe kwenye Celebrity Forum......nahisi hapa si mahala pake
Kwani naye amesha kuwa celebrity?
Story bado haijakaa sawa...what exactly happened?
Huyu si ni yule fisadi ambaye kuna wakati alikamatwa kwa kosa la kuprint hela kwa gharama ya juu kuliko gharama halisi za uchapishaji?
Alikuwa BOT sijui siku hizi yuko wapi
Ndugu zangu Simon Jengo ambaye ni Mzee wa Kanisa Azani Front Cathedral,pili ni mwalimu wa kwaya kuu Azania Front, tatu yuko kwenye kamati ya maandalizi mikutano ya kiroho ya mwalimu Christopher Mwakasege, ametolewa jela ambako alikuwa amewekwa mahabusu kwa sababu ambazo hazikuelezwa.