MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,940
Hiyo siyo treble bali huitwa QUINTUPLE kwa lugha ya King Charles! 😁🤣😂Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa
Ngao ya jamii ❌
Cafcc ❌
Muungano ❌
CRDB cc ❌
NBC Premier League ❌
View attachment 3384713
hawaji mkuu mpaka dirisha kubwa la usajili lifunguliwe,ktk kipindi cha usajili simba huonekana kama ndiye real madrid wakati msimu ukiisha mangungu hugeuka kuwa mbuzi wa kafara.Ngoja waje.
DahMsimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa
Ngao ya jamii ❌
Cafcc ❌
Muungano ❌
CRDB cc ❌
NBC Premier League ❌
View attachment 3384713
Hahahahaha,kipindi cha usajiri wanatwaa makombe yote hayohawaji mkuu mpaka dirisha kubwa la usajili lifunguliwe,ktk kipindi cha usajili simba huonekana kama ndiye real madrid wakati msimu ukiisha mangungu hugeuka kuwa mbuzi wa kafara.
Tutawaketea cement chapa twiga.TUNAJENGA TIMU
wale kolo ni shidaHahahahaha,kipindi cha usajiri wanatwaa makombe yote hayo
Hahahahaha, we subiri haya yote watayasahauwale kolo ni shida
Ushashiba supu nn ,rafikiTANGAZO 🟩🏆🟨View attachment 3385619
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣.Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa
Ngao ya jamii ❌
Cafcc ❌
Muungano ❌
CRDB cc ❌
NBC Premier League ❌
View attachment 3384713