Hatimaye simba tumeonesha hatupendezwi na uwepo wa Hersi Yanga

Hata sisi Yanga tumeonesha hatupendi kuona Raisi wetu akisemwa kuhusu tabia yake ya usela

Maana Clouds aliwahi kusema hivi

Screenshot_20230618-170052.png

Ujue Makolo wanayoongea ni ya kweli na sisi tumekosa hoja ya kuwajibu kwasababu ya uongo ambao Raisi wetu amekuwa akiongea.
 
Hata sisi Yanga tumeonesha hatupendi kuona Raisi wetu akisemwa kuhusu tabia yake ya usela

Maana Clouds aliwahi kusema hivi

View attachment 2661765

Ujue Makolo wanayoongea ni ya kweli na sisi tumekosa hoja ya kuwajibu kwasababu ya uongo ambao Raisi wetu amekuwa akiongea.
Sema sisi Makolo hali yetu sio nzuri kabisa. Kitu pekee cha kutupatia faraja, ni kuwasema utopolo. Yani tumezurula msimu mzima bila lolote la maana.

Kwa hali ilivyo, msimu ujao pia tutatembea hovyo kama kuku aliekatwa kichwa!

Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.

Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.

Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu

Simba
Guvu moya
Naona wewe huwa huna cha kuandika/kuchangia hapa JF zaidi ya kuandika habari za Simba tu! Zaidi ya 90% we' ni Simba tu! Tena, ni kuinanga tu!
Huwa huna mawazo mengine?
 
INAONEKANA MAKOLO WANAKUKAZA VIZURI SANA

KUTWA KUWAWAZA MAKOLO, ITAKUWA WANAKUNYOOSHA BARABARA.
 
Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.

Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.

Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu

Simba
Guvu moya
Sema hawa yanga wanajisikia sana, bora hawa wachezaji wao wote waondoke maana ni hatari sana katika rigi yetu,
Sisi tulikwisha zoea robo fainali na hatuna uwezo wa kusonga japo nusu, wao eti wanaenda mpaka fainali, tunaumia sana cc makolo kolo wajameni si tuunganishe timu zote za ligi tuwachape hawa yanga? AU MNASEMAJE WAJAMENI,
TUTAJITAHID MPAKA UYU RAIS WAO AONE URAISI NI MGUMU KUDADEK NINA HASIRA MIMI NIKIWAONA YANGA, AWATOFAUTIANI NA MANCITY HAWA JAMAA
 
Hata sisi wenyewe Yanga hatupendezwi na uwepo wa Hers Yanga . Maana jamaa ana matusi mazito . Mara atuite wala mihogo. Wakati mwingine atuite wanuka mikojo.
 
Baada ya kufanya Reserch/ UTAFITI hapa Jamii Forum na kujiridhisha PASIPO na Shaka kuwa..

1. Nimegundua Mashabiki wengi wa Yanga hapa Jamii forum Wana TATIZO kichwani.

2. Walio wengi ni WAJINGA, mbumbumbu mzungu WA Reli na wapumbavu.

3. Nikafuatilia historia ya nyuma ya kuanzisha hii timu inasema walianzisha hii timu ilikuwa na WATU WENGI wasiokuwa na Elimu.
 
Ingawa hawatufikii sisi simba mkuu hata ukiangali trend utaona jinsi tunavyojishulisha na vitu visivyo ya msingi kabisa ndio maana tunaitwa mandunduka mipang'ang'a
Simba tubadilike
 
Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.

Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.

Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu

Simba
Guvu moya
Guvu moya
Si unajua Sisi wanathimba ni MBUMBUMBU
 
Back
Top Bottom