Hatimaye Serilikali ya Magufuli yawathamini walevi

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
929
1,000
nimatumaini yangu mkoa salama wana jf...poleni kwa pilikapilika za maisha..

kama kichwa kisemavyo, mimi ni miongoni mwa walevi kwa mana ya kwamba atleast bia tatu za buku jero@ zinanihusu...

sina muda maalum wa kunywa bia kwa kuwa kuna wakati najikuta niko nyumbani asubuhi kwasababu ya shifti kazin. so huwa nashindwa nifanyeje ili nibuludike kwani bar zinafunguliwa saa kumi jioni.

cha kushangaza leo nikiwa na moja moto moja baridi hapa jjin mwanza nikasikia tangazo eti kwamba kesho j tatu kuna offer ya kufungua bar sa tatu asubuhi .kisa eti kuna uwasilishwaji wa taarifa ya kamati ya pili yamakinikia (concentrates) inawasilishwa.

jamani kumbe walevi ndio wafatiliao mambo yq inchi!! basi najivuna kuwa mlevi...keshoo saa mbili niko bar .ila sitaruhusu mhudumu aweke maswala ya mchanga...eeee mteja si mfalme! ni mwendo ya zuku tu...over
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,185
2,000
cha kushangaza leo nikiwa na moja moto moja baridi hapa jjin mwanza nikasikia tangazo eti kwamba kesho j tatu kuna offer ya kufungua bar sa tatu asubuhi .kisa eti kuna uwasilishwaji wa taarifa ya kamati ya pili yamakinikia (concentrates) inawasilishwa.
unataka tupelekwe sero
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom