Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Hahahahaha! Ndo maana tunaitwa waulimwengu wa tatu, jamani wao jamaa walishatugawana afu na sisi tunashangilia! Yaani Russia anapotandika wale former USSR wenzake US haingilii zaidi ya kukoromakoroma kuzuga ulimwengu kutimiza role yake ya ukiranja mkuu, pia US akiwa anatandika waarabu Russia haingilii bali hufumba macho kabisaa kama haoni, tofauti yao yeye russia hukaa kimya make hana jukumu lolote kubwa la ulimwengu na hawezi kulaumiwa kwa lolote
Kaingia kwa style ile ile ambayo Marekani na washirika wake huitumia kuvamia nchi kama Iraq, Libya, Afghanistan etc.
Anaenda kutoa misaada ya kibinaadamu.
Magari makubwa 300 yakiwa na shehena za mahitaji ya binadamu yamevuka mpaka na kuingia Eastern ukraine.
Hii itasaidia sana kuleta amani eneo hilo. kwani Russia ana uzoefu wa game linalochezwa huko.
Hongera Putin kwa kujali watu wanaopata shida ya vita.
hizi ndizo akili typical za watu wa ulimwengu wa tatu
kushabikia mambo ambayo kwao hayana faida wala maana yoyote
Urusi kumvimbia marekani wewe unafaidika na nini au Urusi kuivamia ukraine wewe unafaidika na nini
Unatakiwa uelewe hao wote ni wazungu na interest zao ni moja na hazina msaada wowote kwa maendeleo ya Taifa.
ushabiki wa vita hauna maana yoyote
Mkuu, kujua siasa za nje ni nzuri sana. Ndo maana hata marais wetu hapa bongo hufanyakazi wizara ya mambo ya nje ili wajifunze kitu kabla hawajapewa wadhifa huo. Husipoelewa unaburuzwa tu.
Husiogope mkuu. Lazima tujue hao watu(Wazungu) conflict zao ili na sisi tujue tunajipanga vipi. Dunia sasa hivi ni kama kijiji. Nasisitiza ni lazima tuwe aware na mambo yanayotokea pande mbalimbali za dunia mkuu.
hizi ndizo akili typical za watu wa ulimwengu wa tatu
kushabikia mambo ambayo kwao hayana faida wala maana yoyote
Urusi kumvimbia marekani wewe unafaidika na nini au Urusi kuivamia ukraine wewe unafaidika na nini
Unatakiwa uelewe hao wote ni wazungu na interest zao ni moja na hazina msaada wowote kwa maendeleo ya Taifa.
ushabiki wa vita hauna maana yoyote
Russia wana roho mbaya sana hawa watu.
Bado yanaishi kwenye enzi za ujima utafikiri sio mazungu
na rais wao mbumbumbu,sijapata ona russia akifanikiwa mission hata moja anayoianzisha baada ya vita kuu ya dunia
Russia hawez kurudia makali ya zamani,itakuwa n rahis kwa dola ya rumi kurudi na sio haya mazungu hovyo kina putin
ukrain imesema itayashambulia ayo malori kama yataingia kwa nguvu..
ukrain imesema itayashambulia ayo malori kama yataingia kwa nguvu..
Mataifa ya ulaya yanatia aibu sana. Yamekuwa kama mbwa mbele ya chatu. Hayana ujanja mbele ya marekani. Endapo kila nchi ingekuwa na maamuzi binafsi basi hii ishu ya Putin isingekuwa hot kiasi hiki. Uingereza taifa kubwa ila katika hili heshima yake imedrop to zero
Heshima ya Taifa lako imeongezeka kwenye huu mgogoro? Nauliza tu usinitoe macho!
Jemedari Putin,,, nataman sana hawa wanahizaya wapigwe tu maana wametuletea ma balaa ya kila aina huku Africa yetu
Sent from my iPad Air using JamiiForums