JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
tumsubiri Universal Satan Agent USA atasemaje...
hii kali.tumsubiri Universal Satan Agent USA atasemaje...
Shetani hawezi kusogelea moto, atadhani ndio Jahanam imefika.tumsubiri Universal Satan Agent USA atasemaje...
una uhakika? BBC News - Russian humanitarian aid convoy 'pushes south to Ukraine'Kaingia kwa style ile ile ambayo Marekani na washirika wake huitumia kuvamia nchi kama Iraq, Libya, Afghanistan etc.
Anaenda kutoa misaada ya kibinaadamu.
Magari makubwa 300 yakiwa na shehena za mahitaji ya binadamu yamevuka mpaka na kuingia Eastern ukraine.
Hii itasaidia sana kuleta amani eneo hilo. kwani Russia ana uzoefu wa game linalochezwa huko.
Hongera Putin kwa kujali watu wanaopata shida ya vita.
Ha ha ha! Chezea Putin wewe! Kaka mkubwa kapata kaka mkubwa mwenzie.
Nilisoma yahoo comment moja ya utani nikacheka sana...wanasema Obama atamweza wapi mpigana judo...anamuomba waongee kuhusu Ukraine anajibiwa amsubiri yuko gym...
Ni misaada ya kibinadamu tu, serikali ya Ukraine inasema yataishia mipakani tu, halafu wanajeshi wa Russia hawaruhusiwi kuingia ndio maana itapakuliwa mpakani tu...
Ha ha ha! Chezea Putin wewe! Kaka mkubwa kapata kaka mkubwa mwenzie.
Something awkward is about to happen. Vita huwa zinaanza kwa utaratibu kama huu