Serikali haikupaswa kuifungia kwa muda hii Station, ilibidi IFUTWE kabisa. Mtu hata History hajasoma wala hana elimu yoyote ila anajifanya kuchambua siasa kama anaijua.
Allah karim! ' kutokuilalamikia na kuipinga dhulma hadharani ni Uchochez mkubwa na ni hatari kwa mustaqbal wa Taifa na watu wake'- Al allam Sheikh Ponda