Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Kile kituo chetu cha redio imaani a.k.a elimu bila mipaka au sauti ya waislamu, kinatagemea kurudi hewani tar.28 mwezi huu kwani ndiyo mwisho wa kifungo chake...hivyo waislamu wote na wapenzi wake wote tukae mkao wa kula kwa vipindi motomoto