Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu


Serikali haijawahi kushindwa?? Endelea kulala ukiamka utuambie kama serikali haijashindwa jambo dogo tu la kuwalipa watu pesa zao za korosho, utuambie pia haijashindwa kutoa tamko juu ya watu kuuawa na kutekwa. Badala ya kufanya maendeleo mko bize kugharamia kunyamazisha watu bila kufikiria kuwa kwa kufanya hivyo tu idadi ya wakosoaji inaongezeka kwa kasi mbaya. Mwisho wa siku serikali hushindwa! Nitafutie ilipo serikali ya omar al bashir.
 
Umeandika UTUMBO MTUPU. Hii Serikali ipo madarakani ikimuwakilisha nani? Kwanini unataka kila inapofanya MADUDU tukae kimya tu? Tutaendelea kuwakosoa tu, hadi siku mtakapo anza kuheshimu katiba na kufuata utawala wa sheria kenge ninyi.
 
bila shaka wewe ni msomaji wa TAZAMA TANZANIA, JANVI LA HABARI NA una akili kama musiba hiviii
wale wazee wenu mlishawaita au ndo kukata pumzi kwenyewe
 
Hata watetezi wa serikali dhalimu ya Weupe huko Afrika ya Kusini walitumia hoja Kama zako. Mbaya zaidi miongoni mwao walikuwepo weusi akina Mongesuthu Buthelezi, Chifu wa Wazulu.
Hapa Afrika Mashariki hatujasahau ya Idd Amin Dada, aliyejiita Mshindi dhidi ya Dola ya Kibeberu ya Uingereza, huku akiwachinja Waganda kwa malaki.
Ulihitajika ujasiri wa wana wa kweli wa Afrika Kama Nyerere kutokomeza upumbavu ule.
Hapa Tanzania kuna jambo liko kombo, nalo linawahitaji wana wa kweli wa nchi kusimama na kusema: "Yatosha!!!"
 
Stupid thread wananchi raia ndio wenye dola. Awamu ya tano wamepora tu.
 
Kwa maelezo haya Umekata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonesense
 
Ww unasifia na uko salama, mbona hutumii jina lako sahihi?
Mjuu tindo,shule hazikafunguliwa huko Tz?
Nina mdogo wangu ni "mchwa wa awamu ya tano",na yumo JF,ila anatumia ID feki. Nilimuuliza kwa nini hatoki na jina lake halisi,akaniambia tatizo kubwa kwa "waliopo mezani" wa sasa ni kulogana wao kwa wao.
 
Unamtisha nani wewe?
Serikali dhalimu na zenye nguvu Kama ya makaburu wa South Africa zimeondoka madarakani ije kuwa serikali ya kishamba Kama ya CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…