evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,998
- 5,150
Wababe wa France Ligue 1 nchini Ufaransa wakiwa ugenini jana walikubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa timu ya Lyon katika uwanja wa Stade DE Lyon. ligi toka imeanza msimu huu Paris - Saint German (PSG) haijawahi kufungwa mchezo wowote katika michezo yote 27 waliyoicheza, kabla ya mchezo wa jana PSG imecheza jumla ya michezo 27 imetoka sare michezo Minne na kushinda michezo 23, Hata hivyo PSG inaongoza ligi ikiwa na 73 ikiwaacha Monaco kwa point 23 yenye point 50 ikifuatiwa na Lyon yenye point 42.Mechi inayofuata tar 05 /03 PSG wakiwa nyumbani watawawakaribisha Montpellier,
Je wataendeleza ubabe wao au ndo tayr umeshavunjwa na Lyon?
Je wataendeleza ubabe wao au ndo tayr umeshavunjwa na Lyon?