Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Kivipi?hahahaha yaani kama upo kariakoo tu mkuu
Ntahakikisha nafika maana nipo hapa kwa muda wa week 3Usikose kufika Karachi pahovyo sana na kuja joto utafikiri upo kwenye oven
Kinyume kivipWe andika kinyume tu
msalimie KonkiUsikose kufika Karachi pahovyo sana na kuja joto utafikiri upo kwenye oven
Sio waarabu hao....Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo...
Kwa hovyo sana, nilikaa hapo miezi tisa, yaani hovyo zaidi ya hovyoNtahakikisha nafika,ntakuwepo kwa week 3
Mkuu kwa hiyo ndiyo ulivyosimuliwa kuwa Pakistan ni waarabu??Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Hizo nchi coco sana...hata ukienda Nepal Bangladesh...ni wale wale nchi duni sanaMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Sijakuelewamsalimie Konki
Bangladesh?? Hakuna nchi mbaya, chafu, na iliyo nyuma kama bangladesh, yaa Tz imeipita mara 1000Hizo nchi coco sana...hata ukienda Nepal Bangladesh...ni wale wale nchi duni sana
Sana sio kidogo, Manzese Kuna uafadhaliHizo nchi coco sana...hata ukienda Nepal Bangladesh...ni wale wale nchi duni sana
Unarudi lini Mkuu nimekumiss sanaSana sio kidogo, Manzese Kuna uafadhali
After 3 weeks,unanimiss unajua Mimi Ni Nani?Unarudi lini Mkuu nimekumiss sana