Hatimaye nimerudiana na Ex wangu

Hatimaye nimerudiana na Ex wangu

Udomo zege huo
Nimejaribu kusoma kila makala kuhusu skills za kutongoza hola, nikavuta bangi hola nikawa naenda baa kunywa pombe ili niwe narudi na baamedi nako hola Sasa kimbilio langu ni mpenzi wangu kiukweli sitamuacha hata nikimkuta red handed
 
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.

1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.

2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.

3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula

Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
Bwege sana wewe
Unatulisha tangopori
 
ulitumia mbinu gani na mimi unipe maana kila nikitaka kurudi kwa x wangu mwili unaishiwa nguvu kabisa
Nilirudi nalia nakuomba anisamehe kwa kuahidi nitakaa mita 1.5 popote ilipo simu yake
 
Oyaa balance shobo, hajakuandikia uje kusoma wewe
Vijana Wana stress sana na hawana pakuzitolea nikuwaacha tu watoe sumu ili nafsi zao zipate utulivu. Tusipofanya hivyo rate ya vichaa itaongezeka which is bad for our Nation.
 
Nimechekaa mpaka basi safi mkuu wewe ndio mwanaume,
Pashaaa makabichi mix na viporo cha kale dhahabu bwana tena penz linakuwa taam mpaka raha wana hawajui tu
 
Back
Top Bottom