Hatimaye nimepewa Permanent Residence

Mi sijalaumu popote, nimeuliza tu.

Kumbe kuikimbia nchi ni ushujaa ?

Naona umejibu vizuri kidogo, tatizo ni kama una hasira kwa kusema hata kama nchi inatawaliwa na "mafisi"

Huku nyumbani ulikozaliwa, hatujawahi kuchagua mafisi kuwa viongozi wetu.

Utaratibu huo labda uko huko ulaya ulikopata ruhusa ya ukazi wa kudumu.

Mwisho umehitimisha na kaneno "maamae"

Kumbe huko Ulaya mnatukanana mnapozungumza na majirani zenu..!

Kweli vyeti feki havijawahi kimwacha mtu salama.

Ukistaafu karibu nyumbani.
 
si kila anayeishi nje amekimbia kwao,wakazi wengi wa dar ni wahamiaji kutoka mikoa mengine,inamaana na wao wamekimbia makwao?,watu wanatafuta maisha kokote
Sawa mkuu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshamba wa Mikoani hachoki kuitangazia dunia kalamba bingo ya kuosha mavi na sahani Ulaya.
 
wanaiprocess niniii? Huko nchi gani mkuu

Siyo mtumwa katu, labda wewe you are well placed in Tanzania,. Kwa mtu ambaye amesoma ananyanyaswa kama wanavyofanya watawala wetu, ni vema ukipata mwanya tokomea. Usilinganishe utumwa wa sasa na wa miaka 1800s no! Lazima ulinganishe wapi unaweza kupata mkate wako, kama watawala wanavyokula nchi hapa Tanzania.
 
mkuu nashukuru kwa nasaha nisamehe kwa lugha ya maudhi
 
ukiwa na ukwasi,kama huna uwezo bongo nyoso,najuta uamuzi wa kurudi mazima,ila mwaka huu hauishi inshaalah,australia here i come
mkuu kwanini uliikimbia bonge la nchi? Dah Australia napapenda sana ninaham ya kufika huko siku moja
 
Hongera sana mkuu naijua adha ya kutafuta hizo mambo za permit Mungu alikuandikia uishi hapo kwa sasa piga kazi

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Ata yeye anaipenda mkuu ila life halichagui ndio maana tuko nae humu anapiga story kila kukicha kwangu mimi mpambanaji kama huyu asiye iba jasho la mtu ni shujaa ni alama ya hustlers wote kitaa tunabyofight kutoka

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, mimi nilidhani ameukana kabisa uraia wa nchi yake tanzania na kulowea ulaya.
Hata hivyo ni maamuzi ya mtu kuishi anapo pata fulsa ya uchumi.



Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuosha sahani mkuu ni shilling elfu hamsini kwa saa. NARUDIA KUOSHA SAHANI NI SHILLINGI ELFU HAMSINI KWA SAA

Wewe mi mshamba na utaendelea kuwa mshamba maisha yako yote. Kumbuka hiyo elfu 50 kwa saa unalipwa huko Denmark na viwango vya maisha ni vya huko. Hiyo ni hela mbuzi kwa viwango vya huko.
 
mkuu kwanini uliikimbia bonge la nchi? Dah Australia napapenda sana ninaham ya kufika huko siku moja
mkuu sikuwa australia,nililuwa Asia(china,singapore,hk),nkarudi kujenga taifa,sasa ndo nimepata mchongo wa Australia bado najaribu kutathmini maslahi nkijiridhisha nasepa fasta.lile bichi halijawahi mtupa mtu
 
Heri yako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…