unadhani kuna anayeichukia nchi yake? Watu tumekuja kutafuta hapa. Kwa mfano nirudi nyumbani Leo hii nitaanza wapi? Wakati nimejiestablish hapa na bado malengo yangu hauajatimia? Na kupewa permanent residence siyo umeukana uraia wako? Ila ina benefits nyingi sana. Homu ni homu tu hata kama inatawalia na mafisi. Mbona wasomali wa mogadishu wanaoishi Ughaibuni kila siku wanariski kusafiri mogadishu licha ni hatari si salama?Kumbe kuikimbia nchi yako uliyozaliwa ni jambo la kishujaa.
Ni ajabu na kweli.
Kwahiyo kungekuwa na fursa pana ya kupewa uraia wa huko, watanzania wote tuhamie Ulaya.
Naipenda nchi yangu Tanzania na sitofanya jaribio la kuikimbia milele daima.
Nchi Yangu Tanzania,
Nakupenda Kwa Moyo Wotee..
mkuu asikudanganye mtu. Kuoshavyombo na kufagia au cleaning imekuwa lulu sasa hivi ulaya. Kuna competition kubwa kwasabab too much immigrants na wimbi la wazungu kutoka eastern Europe ambao hawachagui kaz na ndio hao wanapewa kipaumbele. It is highly recommended now to stick in one particular job. Zipo ndio ila kuna kaugumu flan siyo kama zamani nilipokuja. Mpolishi, mluthuenia washenz sana hasa kwenye kuokota matundaHizo ni kazi ambazo huhitaji karatasi kufanya, atakuwa mjinga kama ataendelea kufanya kazi zile zile wakati sasa ana residence card. Sasa afanye maendeleo, ajiendeleze kielimu na kiuchumi kwa Kazi za maana za kipato cha juu
Hongera ukiweza kuikimbia Africa, ni vyema. Utakuwa unakuja kusalimia. Inatosha. Nami niko njiani tuombeane.Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
Huku afrika ni jahanamu, ukiweza kuwa raia kabisa. Utakuja kama mtalii.unadhani kuna anayeichukia nchi yake? Watu tumekuja kutafuta hapa. Kwa mfano nirudi nyumbani Leo hii nitaanza wapi? Wakati nimejiestablish hapa na bado malengo yangu hauajatimia? Na kupewa permanent residence siyo umeukana uraia wako? Ila ina benefits nyingi sana. Homu ni homu tu hata kama inatawalia na mafisi. Mbona wasomali wa mogadishu wanaoishi Ughaibuni kila siku wanariski kusafiri mogadishu licha ni hatari si salama?
Ungenilaumu tu labda Kwa kukana aidentinti yangu kitu ambacho sitaweza kamwe maamae
mkuu bongo nimesharudigi Kwa sana tu. Tripu yangu ya Kwanza December 2009 imekuwa hatari. Nilichenji nikapata kama million kumi hivi yani ilikuwa balaa. Nikaitwa milionea kwasiku matumiz siyo chini ya elfu hamsini nywesha Watu ulabu, yani full makinikia. Hilo bata yani uspime. Zilipokaribia kuisha nikazama Dar kwasiri gesti nikatulia siku tatu nikapaa kurudi Denmark sina kitu.Aisee so toka 2009 huijui bongo unaisha ughaibuni kama kibaka yani kwa kujifichaficha.
wanaiprocess niniii? Huko nchi gani mkuuHongera ukiweza kuikimbia Africa, ni vyema. Utakuwa unakuja kusalimia. Inatosha. Nami niko njiani tuombeane.
hahaha. Mkuu ungejua tuu there are millions of Africans now who wish to get an opportunity like mine. Ungejua hundreds of thousands risk to cross meditareanean to get mainland Europe every year. Na wengi wao ni highly educated. Hicho tu nikikaa chini na kutafari am so much grateful. Siyo laana African is full of shit bcoz of CCM and the likesYaani mtu mzima unashangilia na kuutangazia Ulimwengu ya kwamba umefutahi hatimaye umekuwa "Permanent Slave" huko Ughaibuni !!!???? Yaani unashangilia kuwa MTUMWA wa kudumu !!!???
Ama kweli mijitu ya Afrika tuna laana ya sayari zote. Pathetic!
Bab kubwahahaha ntakuja kukuktembelea. Ngoja na mimi nianze kukinga benefits
ukiwa na ukwasi,kama huna uwezo bongo nyoso,najuta uamuzi wa kurudi mazima,ila mwaka huu hauishi inshaalah,australia here i comeYooote tisa hakuna kama kama Tz
Nishatembea na kuishi sehem kibao lkn
EAST&WEST
TANZANIA IS THE
BEST[emoji1549]
Daah hongera copen.Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha nyuma.
Nilikuja Denmark early 2009 nililetwa hapa nilikuwa bado kijana mdogo sana.
Ukiondoa Denmark nchi nilizoishi nakufanya kazi skendinevia Sweden (Malmo), Norway ( Oslo, Bergen na Trondheim) na Icelend.
Hizi njemba zilidhamiria sana kunideport ila niliwashinda mahakamani.
Wengi hapa wanajua mimi ni Mgambia kwasabab ndio kampani yangu hadi Gambia na Senegal nimeshawahi kufika.
IT IS A SKILL TO BE PATIENT, LEARN IT!
Sky Eclat Bowie barafu mrangi Yamakagashi Al-Watan UncleBen (Che) Benny
si kila anayeishi nje amekimbia kwao,wakazi wengi wa dar ni wahamiaji kutoka mikoa mengine,inamaana na wao wamekimbia makwao?,watu wanatafuta maisha kokoteKumbe kuikimbia nchi yako uliyozaliwa ni jambo la kishujaa.
Ni ajabu na kweli.
Kwahiyo kungekuwa na fursa pana ya kupewa uraia wa huko, watanzania wote tuhamie Ulaya.
Naipenda nchi yangu Tanzania na sitofanya jaribio la kuikimbia milele daima.
Nchi Yangu Tanzania,
Nakupenda Kwa Moyo Wotee..
Wakati naandika Thesis miaka ya nyuma moja ya kitu niliigusia ilikuwa ni Neo-colonialism. Watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa. Miaka ya 1800s watumwa walikuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kwenda kuuzwa ...2017 watumwa wanatafuta Visa na kujilipia nauli kwenda kujisalimisha utumwani. Hongera mkuu kwa kupata haki yako uliyoipigania miaka kibao ya kuwa "Mtumwa wa Kudumu" Ughaibuni.hahaha. Mkuu ungejua tuu there are millions of Africans now who wish to get an opportunity like mine. Ungejua hundreds of thousands risk to cross meditareanean to get mainland Europe every year. Na wengi wao ni highly educated. Hicho tu nikikaa chini na kutafari am so much grateful. Siyo laana African is full of shit bcoz of CCM and the likes
Umeongea vizuuuri kote huko,ulipoongelea hizo issue za uchama hapo ndipo nimegundua wewe kweli umepotoka,huku wenzio tumeshamaliza uchaguzi,uchama tumeweka pembeni tunajenga nchi yetu,wewe unaturudisha kwenye uchama,hautufai kabisa ndugu endelea tu kuwa hukohuko na bora umepata permanent residency maana nyie ndio mngekuja kutuharibia amani ya nchi yetu...hahaha. Mkuu ungejua tuu there are millions of Africans now who wish to get an opportunity like mine. Ungejua hundreds of thousands risk to cross meditareanean to get mainland Europe every year. Na wengi wao ni highly educated. Hicho tu nikikaa chini na kutafari am so much grateful. Siyo laana African is full of shit bcoz of CCM and the likes