Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
bila kusahau la buguruni, na kuna lingine linajengwa kwa mpalange likiisha kapande piaHaunishindi mimi kwa kupanda madaraka, daraja la mfugale nimepanda,daraja la kijazi nimepanda,na hata la kigamboni nimepanda