Unadhan kwanini USA wanamhitaji na wamepiga TANJI mali zake zote?Umeshawah kusoma historia yake?DRUG LORD ANASAFIRISHA UNGA KWENYE MAGALONI_πππ,HUYU NI MUUZA UNGA TU REJA REJA,HAWEZI KUFIKA KUITWA DRUG LORD.
HATA HAPO ESCORT YAKE INGEKUA BALAA KM ANGEKUA DRUG LORD,HUYO MUUZAJI WA KAWAIDA TU NA ANA PUNDA WAKE KADHAA TU NA MA PUSHER AMBAO YEYE NDIO KAWAONYESHA NJIA
Nenowadau hii ishu ya unga imeathili walio wengi mimi binafsi natamani wote wakamatwe na wapewe adhabu kali itakayo kuwa fundisho kwa wote. nachukia xaana.
Heri ugolo walahi hahahaha!Kweli mapambano ya dawa za kulevya yanatekelezwa kivitendo,vijana wameanza kujisalimisha kwenye UGOLO yaani siku hizi utakuta Babu na Mjukuu wake wanagongeana UGOLO ili wapate stimu.
Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...DRUG LORD ANASAFIRISHA UNGA KWENYE MAGALONI_πππ,HUYU NI MUUZA UNGA TU REJA REJA,HAWEZI KUFIKA KUITWA DRUG LORD.
HATA HAPO ESCORT YAKE INGEKUA BALAA KM ANGEKUA DRUG LORD,HUYO MUUZAJI WA KAWAIDA TU NA ANA PUNDA WAKE KADHAA TU NA MA PUSHER AMBAO YEYE NDIO KAWAONYESHA NJIA
Halaf jamaa anasema HUYO NI MCHUUZI.Na alikuwa na mali nyingi sana!
Hao wamefundishwa kazi na chonjiShkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,
ova
Hiv ugolo nao ungepigwa marufuku je tungeficha wapi nyuso zetu.................Ufadhar ugolo kuliko madawa
Kweli mapambano ya dawa za kulevya yanatekelezwa kivitendo,vijana wameanza kujisalimisha kwenye UGOLO yaani siku hizi utakuta Babu na Mjukuu wake wanagongeana UGOLO ili wapate stimu.
Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,
ova
Yaani CHONJI kamfundisha kazi SHKUBA???Hao wamefundishwa kazi na chonji
chonji alkua noma anamiliki nyumba mtaa ule wa jangwani sea breeze alkua analeta mzigo kwa boti tena una escort ya jeshi kuhusu mali ndo usiseme