Kweli ni kisiwa cha maarifa na burudani. Baada ya mishughuliko yangu ya kutwa ninaondoa uchovu na JF kuna watu wananifurahisha sana majibu mafupi ya vichekesho. Nitajiungaje Mkuu?