Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Usijali ndugu, hata mimi mwenyewe hapa bado sijaanza kuulizia jinsia za watu japo nimefurahi sana kwa kunikaribisha vizuri kwenye hii media na ushirikiano nimeuona hadi sasa namna mambo yanavyoenda.

Usijali ndugu bado tupo mwanzo wa safari hapa
Yeah ni kweli upo mwanzo wa safari...kuna kitu unaogopa labda? ulinzi upo wa kutosha tu ndugu yangu usiwe na shaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…