Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 #1 Habari zenu wana JamiiForum, Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua Shukrani sana
Habari zenu wana JamiiForum, Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua Shukrani sana
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Jul 17, 2017 #2 Karibu sana Mkuu. Jisikie upo nyumbani
Alisina JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 4,275 Reaction score 4,607 Jul 17, 2017 #3 Safi sana!! Umefanya maamuzi sahihi! Jf ni kisima cha Maarifa & burudani. Karibu sana ndugu yangu.
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #4 Ahsante sana Mwifwa na Keyon
Traviana Tray JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 546 Reaction score 457 Jul 17, 2017 #5 karibu sana
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,851 Jul 17, 2017 #6 Karbuuu ukitukanwa uskasirikeeee lkn maana watu humuu
N nyasura Member Joined Apr 30, 2017 Posts 15 Reaction score 21 Jul 17, 2017 #7 Karibu sana ndg,umefanya uamuzi sahihi Post sent using JamiiForums mobile app
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jul 17, 2017 #8 Karibu sana JF mjukuu wetu.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jul 17, 2017 #9 Picha yako tafadhali..halafu wewe ni KE au ME?
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #10 paulina ray said: karibu sana Click to expand... Ahsante
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #11 Joseverest said: Picha yako tafadhali..halafu wewe ni KE au ME? Click to expand... Tutajuana mbele ya safari
Joseverest said: Picha yako tafadhali..halafu wewe ni KE au ME? Click to expand... Tutajuana mbele ya safari
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #12 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu. Click to expand... Ahsante
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #13 nyasura said: Karibu sana ndg,umefanya uamuzi sahihi Post sent using JamiiForums mobile app Click to expand... Ahsante
nyasura said: Karibu sana ndg,umefanya uamuzi sahihi Post sent using JamiiForums mobile app Click to expand... Ahsante
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #14 baba swalehe said: Karbuuu ukitukanwa uskasirikeeee lkn maana watu humuu Click to expand... Ahsante. Mwenzako akikufanyia ovu, wewe mfanyie/ mtakie mema
baba swalehe said: Karbuuu ukitukanwa uskasirikeeee lkn maana watu humuu Click to expand... Ahsante. Mwenzako akikufanyia ovu, wewe mfanyie/ mtakie mema
Eng Nyahucho JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 688 Reaction score 1,155 Jul 17, 2017 #15 Dx and Rx said: Tutajuana mbele ya safari Click to expand... Wewe mtaalamu wa telecommunications/umeme maana jina lako limenikumbusha sijui engineering materials au control engineering Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Dx and Rx said: Tutajuana mbele ya safari Click to expand... Wewe mtaalamu wa telecommunications/umeme maana jina lako limenikumbusha sijui engineering materials au control engineering Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jul 17, 2017 #16 Dx and Rx said: Tutajuana mbele ya safari Click to expand... unazingua sasa Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums auto-reply mobile app
Dx and Rx said: Tutajuana mbele ya safari Click to expand... unazingua sasa Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums auto-reply mobile app
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 Jul 17, 2017 #17 Uwe na adabu tu
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Jul 17, 2017 Thread starter #18 Joseverest said: unazingua sasa Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums auto-reply mobile app Click to expand... Bado sijazijua sheria za humu, naweza kufanya kama unavyotaka kumbe nitakuwa nimevunja sheria. Ndio maana nimekuambia mbele ya safari mambo yatakaa sawa
Joseverest said: unazingua sasa Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums auto-reply mobile app Click to expand... Bado sijazijua sheria za humu, naweza kufanya kama unavyotaka kumbe nitakuwa nimevunja sheria. Ndio maana nimekuambia mbele ya safari mambo yatakaa sawa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jul 17, 2017 #20 Dx and Rx said: Bado sijazijua sheria za humu, naweza kufanya kama unavyotaka kumbe nitakuwa nimevunja sheria. Ndio maana nimekuambia mbele ya safari mambo yatakaa sawa Click to expand... ok sawa..wewe ni Mwanamke au mwanaume?? Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Dx and Rx said: Bado sijazijua sheria za humu, naweza kufanya kama unavyotaka kumbe nitakuwa nimevunja sheria. Ndio maana nimekuambia mbele ya safari mambo yatakaa sawa Click to expand... ok sawa..wewe ni Mwanamke au mwanaume?? Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app