...Nakala ya hati ya kusafiria
ya mrembo huyu ambayo
ilitolewa Februari 15, 200*
na muda wake wa kumaliza
kutumika ukiwa ni Februari
14, 20** yenye namba AB
2026** inaonesha mrembo huyu
ambaye pia anashikilia taji
la Kitongoji cha CGB
na Kanda ya TMK,
alizaliwa Mei 31, 1989. Pia
taarifa nyingine zinazoone
sha mrembo huyu ana miaka 25
ni zilizokuwa kwenye Taasisi
ya Explore Talent, ikimtaja
kwamba anaishi Dallas,
Texas, urefu wake ni 5'8,
umbo lake ni la kati, asili
yake ni Mwafrika na rangi ya
macho yake ni kahawia.
Ankol aliona bibi bomba anaulizwa maswali ya kufa mtu na waandishi wa habari ikabidi aingilie kati maana bibi bomba alikuwa anajichanganya kweli kweli.