chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,164
- 2,416
Duh basi usiache mkuu, bora tungi kuliko kuchovya chovya hovyo[emoji3].Niko mbioni. Kuacha nafikiria chakufanya nikiwa sinywi, last time nilivyoacha nilikua Malaya sana.
Acha kujiendekeza bana, amua kutulia na mmoja it's possible.Mimi naona mabinti wa chuo ndiyo wataniua!
Maana nimejaribu kuwaepuka niachane nao, lakini kila mwaka mpya wa masomo wanakuja mabinti wapya pia!
Mungu atanisamehe kwa hilo!
Ulikua unamaliza kreti nini?[emoji3], hiyo kunywa jmosi tu naona bado unakunywa ila umepunguza, anyways huyo mtembezi ni pombe gani hiyo?Nmeacha mwaka wa 5 huu, nakunywa jmosi tuu, chupa ndogo ile ya john mtembez na mishkak miwili basi,.. Nmefanikiwa sana kwwnye hili
john walker!Ulikua unamaliza kreti nini?[emoji3], hiyo kunywa jmosi tu naona bado unakunywa ila umepunguza, anyways huyo mtembezi ni pombe gani hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza chuo kikuu na nna miaka mitatu mtaani. nmeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda. kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani. imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
Duh basi usiache mkuu, bora tungi kuliko kuchovya chovya hovyo[emoji3].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shetani kanikamata nikiruka mkojo nakanyaga mavi. Bora ninywe niangalie plan B ya uhakika nikipata niache maana pombe inanigarimu nilienda kwenye kikao.cha harusi Ndugu wa mfanyabiashara mwenzangu baada ya kunywa nikaidi 500,000 mchango baada ya mwenzangu kuahidi 1,500,000 hasara nikubwa nikiandika Ni kitabu.
Kuna siku naanza biashara Kuna mtu nilikuwa namdai mda mrefu ile amenilipa nikafrai nikasema acha nitumie 50,000 maana alitoa 450,000 matokea yake nikaichoma yote saa nne usiku mpaka saa tano asubui.
Siku ingine nimetoka kwenye msiba nikatoa usafiri zile kurupushani maana usiku ulikuwa Kama.wangu Ni mtu nilikuwa nafanya nae kazi na kwao hamna hela nikatoa gari mbili ili zishughulikie msiba nikawa sijala hiyoo Ni saa Saba nikaenda kusaka msosi msosi unachelewa nikapiga vyombo mpaka naondoka saa 9 nikakamatwa na maaskari nikawatukana nikalala ndani. Yani pombe inanitesa lakina Bado sijapata mbadala
Aisee mkuu hongera sana kama vipi ibuka hapa bar tugonge K-vant na bia za kutosha tusherehekee kuacha kwako pombe maana siyo jambo rahisi inahitaji kusherehekea aiseebaada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza chuo kikuu na nna miaka mitatu mtaani. nmeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda. kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani. imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki