Hatimaye nimefanikisha

ntakachokufanyia hutonisahau bado napambana na maisha upya ila kaa ukijua ntapambana na wewe hata ukiwa maiti.kitu ntakachokufanyia itabaki historia kwa kizazi chako chote sitakuacha Salama,nakuahidi ukoo wako wote watanilaumu kwa ntakachokifanya
Mkuu hayo maneno mengi hupaswi kuyaweka wazi namna hii kwa sababu huu ni uthibitisho tosha na kama huyo mtu akiwa msanii anaweza akajitengenezea tukio lolote alafu akakuangushia jumba bovu. Ushauri wangu unaitwa Sulubu Kimyakimya pasipo ushahidi alafu kwenye mazishi tunatimba kimyakimya kuuaga mwili
 
Atakuwa mwongo ama boya wa kufa mtu.

Milioni 45 unatembea nazo kwemye gari?? uhakika wa safari huna??

Mie hata laki 3 tu sitembei nazo.
 
Usiseme hivyo bro,Kumbuka Mungu ana makusudi yake,mshukuru Mungu Kwa yote na pia umwombe akuyengenezee rizki nyingine,hao wabaya wote Mungu atawahukumu hapa hapa duniani na kesho wakifikwa na mauti pia watakuwa na kesi Kwa Muumba wao.nakushauri endelea kupambana na acha visasi,sisi wengine pia tulipitiaga mazito lkn tukamwachia Mungu na maisha yakasonga mbele.....Pole sana mkuu.
 

Usikute ndio washindi wa Biko na Tatu mzuka
 
hii habari inanipa ukakasi kidogo
wakati unatoka Arusha kwenda Iringa ulikuwa kwenye gari binafsi (je ni la kwako au ulipewa lift?).
Kama ni la kwako uliliacha wapi baada ya kununua jipya?
Naomba nianzie hapo kwanza
 
Atakuwa msainii huyu
 
JF Bwana sasa huyu Kiumbe kwa nini bado ni Member Humu.......
 
Enzi hizi MTU anatembea na million 45????!!!!!!! Umebahatika kupata pesa ila akili bado, ngoja uanze tena labda zamu hii akili itakaa sawa.
 
Pole..ila mnapoambiwa msitembee na hela nyingi muwe mnasikiliza.
Tambua umuhimu wa bank.
 
Umeandika nini?
Kama hujawahi kushika wewe tufanyeje?
Usikate tamaa ya maisha jifunze kuchangamkia fursa bila aibu matokeo utayaona
 
Nilikua kwenye gari ya mtu wa mbeyanaye. Alienda arusha kwa mda kusalimia hivyo alinishushia iringa yeye akaenda mbeya.ajali sikupata nnavyoenda arusha nlikuwa naenda ifunda mbele kidogo.kununua drip pipe
 
umri wako mdogo ndo maana huna leseni?? ina maana chini ya 18?? bado ulikua unaishi na mwanamke.. akakutenda na bado unamtaka? ukanunua gari bila kuandikishiana any docs? unaendesha gari hovyo hovyo tuuu... mmmhhh
Leseni sikuwa nayo ila sio sababu ya umri mimi nipo 18+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…