Mkuu mwache atulie kwanza, mate wake tuta mletea tu.Duuh!.
Mwache akapigwe pipe.
Ulikuwa unatafuta pussycat muda wote huo..??Ulikuwa wapi mbona ume chelewa??, I looked for you kila Kona ila siku ambulia kitu!!?
I even asked majirani ila nao hawakuwa na jibu la kunipa, zaidi ya pole (damn).
Sorry about that day, nawe uli zidi ujue, sometimes stick to my rules kwani mi ndo bread chaser.
You know we are cool together, shida uli dhani kuwa independent ni rahisi ehh!!
No one cares for you than I do, and najua una jua hilo.
siku chache tu, ila tayari Usha Anza kuumwa, hope Utakuwa ume jifunza.
Haya ume Rudi mwenyewe, utulie Sasa .
I mean no malice to nobody
View attachment 2958087
Huyu Yuko POa, huwa nampunguzia urefu wa makucha yake.Ila ukumbuke Hao watu siyo wazuri kabisa.
Ukijichanganya kwenye 18 zao,wanalenga kichwani tu.
Hope uko poa, mganga wa kizuluEeeeeh!
Unamaanisha kwamba ameleft kwenye lile group letu la wasap la wababe 😂Dah! Mkuu we mwanaume ujue😔
Acha ujinga, tuheshimiane mzeeUnamaanisha kwamba ameleft kwenye lile group letu la wasap la wababe 😂
Naaaaaaaaaam mdogo wangu, msalimie pusiiiiiii.Hope uko poa, mganga wa kizulu
Usinisingizie, usiniwekee maneno ambayo sijasema, sitaki ukorofi na mtuUnamaanisha kwamba ameleft kwenye lile group letu la wasap la wababe 😂
Kaka hata wewe Ume shindwa elewa 🤓😆?Haka ni ka nini mkuu? Maana Tanzania's sweetheart na yeye alikua na aina hii ila matumizi tofauti
Kaka Ume shindwa elewa ujumbe 🤓😆Naaaaaaaaaam mdogo wangu, msalimie pusiiiiiii.
Nimeelewa ndio maana nimetoa salam kwa puthiiiiiiiii.Kaka Ume shindwa elewa ujumbe 🤓😆
OT: bwana Vin auKaka hata wewe Ume shindwa elewa 🤓😆?
kweli empty head yako Ina shida 😁🤣Nimeelewa ndio maana nimetoa salam kwa puthiiiiiiiii.
Mkuu hata kwa paka mna uliza hivyo??Rinda lipo lkn mkuu maana bk n uwakikaa haipooo✍️