Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,179
- 29,894
Nampongeza sana Pasco, kumbe ulikuwa joho bado?Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
Wewe una viwanda vingapi na umeajili watu wangapi?angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Kwa akili yangu unajua ninia level ya cheti gani [emoji16]Alikuwa hana shahada ya awali? Watu wengine wamebarikiwa akili jamani mimi nilijuaga ana PhD
Ukiidharau elimu kama unavyofanya ni tatizo kubwa sana.
Wewe ndio mwenye uelewa mdogo, elimu ya darasani haina uhusiano wowote na akili.Siku zote nilikuwa nikidought na uelewa wa huyu jamaa. Nilishaleta maada hapa ya kujua CV ya huyu jamaa. Ila niliambiwa msomi wa sheria sijui nini sijiu nini. Anyway hongera bana. Sasa upanue fikra acha danganya danganya
Form four ya zamani ilikuwa ni elimu tosha sana ya kuweza kupambanuwa mambo.Alikuwa hana shahada ya awali? Watu wengine wamebarikiwa akili jamani mimi nilijuaga ana PhD
Wewe la tano BKwa akili yangu unajua ninia level ya cheti gani [emoji16]
kwa hiyo ndg. pascal mayala kamaliza form six mwaka 2003?huo ni mwaka ambao amemaliza Form 6, UD ndio mchezo wao huo...
kama umemaliza form 6 say mwaka 2012, ukaenda ud leo hii , reg yako itaanza na 2012 - miaka ya kozi - namba yako
Haha ngoja wenye PhD waje wakunangeForm form ya zamani ilikuwa ni elimu tosha sana ya kuweza kupambanuwa mambo.
Nchi hii imehalibiwa nao wenye hayo maphd.
Hivi DAB ndio nani?Pascal Mayalla hongera sana kaka. Kumbe uteuzi wako ulikua unasubiri kwanza uongeze cheti ili isije kuzuka skandali kama ya DAB.
Utukumbuke wadogo zako pindi utakapokula shavu.
Pasco alidisco UDSM na hajawahi kuficha hilo yuko wazi, na kwa sisi tunaozijuwa figisu utatuka aliferishwa tu, hizo ni Academic papers tu, Pasco ana uwezo mkubwa na akili kubwa kuliko hata hao walimu wake wa UDSM.Inakuwaje ana ID ya mwaka 2003 amekuja kumaliza 2018? Au alipostipone?
Sijafika hata [emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Wewe la tano B
Mkuu nimekuelewa, ila jua kuwa alikuwa anaendelea na shuguli zake. Ila pia kuna watu wao kwao mafanikio ni kupata elimu na ikiwezekana mpaka shahada ya 3.sijadharau elimu,naiheshimu sana.
shida yangu ni kupoteza miaka mingi kutafuta hiyo elimu.
imagine jamaa tunayemjadili hapa kapoteza takribani miaka 15 (2003-2018) kutafuta shahada moja.
kwangu mimi huko si kutafuta elimu, ni kutafuta ujinga. pardon my french.
Alimaliza Form 6 mwaka 2003 , akaingia UD na id iyo juu apo kitambo uko , akapostpone na kurudi tena, REG. ID HAIBADILIKISijaelewa! 15 years?
Aibu naona mimi [emoji3][emoji3][emoji23]Hivi DAB ndio nani?
Yes, akasoma na ku postpone na kurudi tena, reg. ID HAIBADILIKIkwa hiyo ndg. pascal mayala kamaliza form six mwaka 2003?
Wewe ndo mbwiga kweli. Akili sio pesa. Im talking about the power of reasoning....Wewe ndio mwenye uelewa mdogo, elimu ya darasani haina uhusiano wowote na akili.
Nenda kakae meza moja na Bakhresa ambaye hajamaliza primary school halafu ndio utaelewa kati ya cv zako na Bakhresa nani mwenye akili nyingi.